Masultani walipatapo kuua raia, kuweka jela za mateso na dhuluma nyinginezo?

Nyenyere,
Makusudio yangu ni kufungua mjadala kupata undani wa uongozi wa masultani wa
Zanzibar endapo katika utawala wao walipata kunyanyasa raia.
Labda ni vema kwanza tukafahamu asili ya hao masultani, na pia walifikaje Zanzibar.
 
NDIO MASULTAN WA CCM WALPATA KUUA RAIA (KARUME) KUWEKA NDANI JELA ZA MATESO (SHEIN/KIKWETE) KUFANYA DHULMA(SALMIN KOMANDOO)
 
Hawa ndiyo waliwaburuza mababu zetu na kuwafunga minyororo mikubwa ya shingoni mikononi na miguuni, huku wakiwatandika viboko na akionekana mtu dhaifu anauwawa, kisha kuwauza kama ng'ombe mnadani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…