The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 639
- 1,398
Bonjour
Kibongo bongo Ukitaka utusue maisha kwenye upande wa Elimu Kwa nyie wadogo zangu, at least usome masomo ya science, na sio usome tu, Yani usome na ufahuru , passmark zako ziwe vizuri sana, kuanzia O level Hadi university, hapa utakuwa una high chance ya kupata ajira serikalini au taasisi binafsi na mshahara sio mbaya sana. Huyu ni Kwa mtu ambae Hana connection..
Ukisoma science Kwa hapa bongo at least una soko kuliko sisi Wana HKL ambao hatuna connection, labda uingie kwenye siasa, na huko kwenye siasa connection muhimu.
Favours nyingi za ajira Kwa hapa bongo, ni Kwa watu walio soma science subjects, Cha msingi ufahuru vizuri,