Kwenye maandishi ya rangi nyekundu, jaribu kupunguza ukali maana siyo watu wote walioko pale ni wapuuzi. Naomba urekebishe hiyo sentensi mkuu maana umejumuisha karibu wote!! Ukirudi kwenye maada husika, ni kweli mhimu ni kuwa smart zaidi ya hao majasusi wa uchumi. Hii itategemea zaidi na nchi ilivyojipanga. Kwa ufupi, ili nchi iwe smart than majasusi ya kiuchumi, ni mhimu kujipanga kwa muda mfupi na mrefu kwa kutrain vijana katika nyanja mbali mbali ikiwemo ujasusi wa uchumi.Huyo mwandishi alichoandika ni tasfiri yake km ya wenzie wa haki za binadamu wanavyoweza tafsiri mchujo kuhusu wahamiaji wanaingia ulaya kwa fujo.
wajamaa huwezi fanya nao kazi wasiseme wanaibiwa.Ingawa wenyewe ndio wanaibiana sana. WAJAMAA NI KM NDUGU ASIYE NA BUSARA YA HELA, UKIMWAMBIA NAKUTUKANA USIMPANGIE HELA YAKE, AKIZIMALIZA ANAKUJA KUKULILIA, UKIWA HUNA ANAKUTOSA. KWA UJUMLA NI NDUGU AMBAYE ANACHEZA NA UMAKINI NA KUWAJIBIKA KWAKO. tUSIJITOE AKILI KIASI HIKI NA KUTUMIA AKILI ZA WAPUUZI WA PALE UDSM KUDANDIA HOJA NA KUELEZEA WAPENDAVYO,KWA VILE NI CARELESS KM MIRENGO WANAYOIAMINI .
Tatizo bado ni tafsiri, ni kutokana na malezi na fikra ulizojengewa. Huwezi kataa ni tafsiri ya mwandishi au nia yake ya kuandika hicho kitabu ndio unaiamini na si lazima iwe ndio ukweli wa mambo.Mmh, hata kwa macho huyaoni mkuu
Umeanza vizuri ukamaliza vibaya sana. Hivi kweli huo ulazima wa wengine kukutakiwa mema unatoka wapi km tayari ni mpinzani wako? Hivi ni lazima nyie muishi kwa fadhila za wengine au kuwataka wengine wawabembeleze kwa nguvu?Hivi wapi wajamaa mmejipa jukumu la nyinyi pia kuwatakiwa wengine mema..KUNA MTU KATI YENU KESHWAHI SEMA GOD BLESS AMERICA Zaidi ya kutaka misaada bila kusema asante. Ningumu sana watz na waafrica wengine kujitoa ktk ujinga wa CCM. CCM wanajilisha ujinga sana ,sasa wanaamini huo ujinga.Hawa jamaa ubunifu ni moja ya vipaji vyao,Na ukiona ameamua kuliweka wazi hili ujue na mikakati mipya (Advanced strategies) imeishaandaliwa Kwa ajili ya maboresho ya unyonyaji,Hawa wazungu hawazitakii mema kabisa nchi maskini hasa za Kiafrika na Kiarabu!!
Kuna dynamics nyingi sana katika kila hatua za economics development. Pengine huyu Perkins kaamua kusema hivyo wakati huo huo wameshaadvance na njia nyingine ya kutunyonya. Angalia namna ambavyo uchumi wa nchi nyingi unavyotegemea matajiri kuendesha serikali...kiasi cha kuhatarisha usalama wa nchi kama matajiri hao wataamua kuacha kutoa huduma. Kuligeuza hilo...kuna gharama kubwa sana ya muda hadi mje mkae sawa, mtakuwa mmeshakaribiana na North Korea kutukanwa na kuitwa majina yote mabaya kutoka kwenye media za mataifa makubwa.
These take the form of loans to develop infrastructure — electric generating plants, highways, ports, airports, or industrial parks. A condition of such loans is that engineering an d construction companies from our own country must build all thes e projects. In essence, most of the money never leaves the United States; it is simply transferred from banking offices in Washington to engineering offices in New York, Houston, or San Francisco.
Sometimes ni bora wasisome, km nao ni hawa wajamaa wa wa propaganda wa UDSM. wanaweza kata tamaa kabisa na kumkatisha tamaa. Sasa km meta maada, alichotafsiri kimemwaminisha zaidi kuhusu mwandishi kwa kiasi anataka tuaminisha hiki kitabu ni factual kuanzia herufi ya kwanza hadi ya mwisho. Pengine asichojua hao jamaa ni smart zaidi na wanahitaji hizo toka kwa watu wasiojua hela km wajamaa. Watazikusanya hizo hela kutoka ktk mikono yenu kwa vile mnapenda habari mbaya km ushahidi wa kuthibitisha fikra zenu mbaya uwa kweli.Tunakusoma mkuu na hizo story za huyo John Perkins.
Baadhi ya washauri wa raisi JPM wamepitia vitabu vingi tu.
Tatizo bado ni tafsiri, ni kutokana na malezi na fikra ulizojengewa. Huwezi kataa ni tafsiri ya mwandishi au nia yake ya kuandika hicho kitabu ndio unaiamini na si lazima iwe ndio ukweli wa mambo.
Hapo ndipo nakuambia shida ipo kwako zaidi kuliko ambaye hakukisoma kabisa. Hivi unajua hao waandishi pia huandika vitabu kwa style fulani ili kutafuta hela ya kustaafia, kwa kuuza habari wajinga wanazopenda ili kuzidi waharibu zaidi na kuwatisha kabisa? Wajamaa ni wajinga sana, kiasi cha kuweza wageuza soko, ktk furaha yao au ktk huzuni yao.
Mm ni mmoja ya watu wanaopinga kuukubaliana na kila kinachosemwa au kuandikwa na mtu, coz huwa ni mtazamo wake ambao huathiriwa na vitu vingi. Lkn vt vingine hata visingeandikwa kwa macho yako tu waweza viona bila hata kuambiwa.Tatizo bado ni tafsiri, ni kutokana na malezi na fikra ulizojengewa. Huwezi kataa ni tafsiri ya mwandishi au nia yake ya kuandika hicho kitabu ndio unaiamini na si lazima iwe ndio ukweli wa mambo.
Hapo ndipo nakuambia shida ipo kwako zaidi kuliko ambaye hakukisoma kabisa. Hivi unajua hao waandishi pia huandika vitabu kwa style fulani ili kutafuta hela ya kustaafia, kwa kuuza habari wajinga wanazopenda ili kuzidi waharibu zaidi na kuwatisha kabisa? Wajamaa ni wajinga sana, kiasi cha kuweza wageuza soko, ktk furaha yao au ktk huzuni yao.
Economic hit men wnSie bado tunasubiri sukari ya BURE hatuioni, na yeye tumtumbue kwa kutoa ahadi HEWA?!
Sidhani km kuna shida km watu wanavyoamini. Shida ni sisi, kutoamka na kuanza tune hizi dili ili tuchukue faida ya kutosha. Shida yetu ni kuhubiri kwamba china ni rafiki ,wengine ni maadui, as if CHINA kasamehe reli ya tazara bure na ataijenga bure? BY THE WAY HATA SISI HUWA TUNAWAWEZESHA WAKULIMA ILI WAKIVUNA TUJE CHUKUA MAZAO NA KULIPANA JUU KWA JUU...Huu ndio ukweli wenyewe. Hata mimi nilifikiri sana. Tena nikawaza sana pale JPM aliposema kuna marafiki zake watampa misaada (baada ya MCC kuwakatalia). Alisema marafiki wenyewe sijui waJapan na Wachina. Kwa sasa huko Japan na China hali ni mbaya uchumi haukui, unadidimia.
Hata kwenye nchi za wenzetu, maskini ni wengi tu. Kwanini wao waje TZ kutusaidia bure bure tu? Haiwezekani. Fikiri chukua hatua.
Kwa asili binadamu ni mbinafsi. Tazama jinsi ambavyo kwa miaka michache tu tayari kuna tabaka fulani limejengwa Tanzania. Ambalo ni wafaidikaji wa kile alichosema rais, serikali kufanya biashara na fedha zake zenyewe. Ubwana na utwana umeletwa na tabaka hilo, ni kazi ngumu kuweza kulikumbusha tabaka hili kwamba pamoja na uhuru wa mtu au taasisi katika kujitafutia maisha mema lakini ni lazima haki itendeke, kodi ilipwe, njia za panya kama vile uingizaji mafuta bandarini, zikomeshwe. Ni vita ngumu sana kulikumbusha tabaka hilo kwamba linachofanya ni kufaidika na ubepari wakati lenyewe ni likiwa ni tabaka linalokula kwa kutegema udalali wa kimataifa.Kuna dynamics nyingi sana katika kila hatua za economics development. Pengine huyu Perkins kaamua kusema hivyo wakati huo huo wameshaadvance na njia nyingine ya kutunyonya. Angalia namna ambavyo uchumi wa nchi nyingi unavyotegemea matajiri kuendesha serikali...kiasi cha kuhatarisha usalama wa nchi kama matajiri hao wataamua kuacha kutoa huduma. Kuligeuza hilo...kuna gharama kubwa sana ya muda hadi mje mkae sawa, mtakuwa mmeshakaribiana na North Korea kutukanwa na kuitwa majina yote mabaya kutoka kwenye media za mataifa makubwa.
Mkuu umeshalock brain yako ktk shida. Elimu uliyopewa na hawa wajamaa ndio tope ktk ubongo wako mkuu. Umejaribu sana kuwa na nia njema ila si rahisi sana kuchomoka ulipo. tatizo la sukari ni purely la serikali na makundi ya wahuni waliokuwa wakihubiri siasa chafu km tulizozisikia ktk kampeni za ccm. Shida hapa ni ujamaa na unafiki, sukari wapo wachapa kazi wanaweza jaza sukari hapa, hadi serikali ipate hela za kigeni kwa wabongo kuiuza hadi nchi jirani.Ina
Mm ni mmoja ya watu wanaopinga kuukubaliana na kila kinachosemwa au kuandikwa na mtu, coz huwa ni mtazamo wake ambao huathiriwa na vitu vingi. Lkn vt vingine hata visingeandikwa kwa macho yako tu waweza viona bila hata kuambiwa.
Sakata la sukari ni mfano mdogo, hapo kuna makosa yamefanywa na upande wa serikali lkn tukiacha ushabiki kuna mkono mwingine tusiouona umetufikisha hapo.
Hapo kwenye Bold, pamoja na kumpenda sana Magufuli kwa mambo anayo yatenda nchini mwetu (He walk his talk, rejea kutumbuliwa kwa Sefue, Kilango Malecela na Kitwanga) lakini issue ya sukari binafsi ninaona kabisa hapa yeye ndio aliyeteleza. Kupiga marufuku uagizajiwa sukari toka nje ya nchi alikua sawa sawa kabisa, Malengo yake na hata sababu alizozitoa zilikua sawa but shida ni mahali aliposemea, angepigia marufuku kwenye kikao cha baraza la mawaziri. So kwa hili sina lawama kwa wafanya biashara kabisa, hata ungekua ndio wewe unafanya biashara hiyo ungeficha tu cause biashara lengo lake ni kupata FAIDA na ili upate faida kanuni ya Demand and supply lazima ifanye kazi.Mkuu umenipa kitu cha ziada! Nimependa hapa mwanzo anavyoanza:-
Haya majanga yote ya sukari etc hutengenezwa na hawa Economic Hit Man! Siyo lazima wawe wamarekani lakini pia tunaishi na tunalala nao hapa hapa Tanzania! Wanapita kila siku na tunapigia makofi na kuwaona watu wa maana kwel kweli ila usiku ni watu wa mipango mikali ya kuiangusha serikali!
Usikubali kutekwa akili na wazungu kirahisi namna hii. Ubepari wao una misingi ya miaka mingi. Kwa wenzetu kutolipa kodi ni kosa la kukupeleka jela hata kama jina lako ni kubwa kwenye jamii. Hatujakuwa na misingi mizuri ya kibepari kiasi cha kuenda sambamba na wazungu wa ulaya na marekani.Huyo mwandishi alichoandika ni tasfiri yake km ya wenzie wa haki za binadamu wanavyoweza tafsiri mchujo kuhusu wahamiaji wanaingia ulaya kwa fujo.
wajamaa huwezi fanya nao kazi wasiseme wanaibiwa.Ingawa wenyewe ndio wanaibiana sana. WAJAMAA NI KM NDUGU ASIYE NA BUSARA YA HELA, UKIMWAMBIA NAKUTUKANA USIMPANGIE HELA YAKE, AKIZIMALIZA ANAKUJA KUKULILIA, UKIWA HUNA ANAKUTOSA. KWA UJUMLA NI NDUGU AMBAYE ANACHEZA NA UMAKINI NA KUWAJIBIKA KWAKO. tUSIJITOE AKILI KIASI HIKI NA KUTUMIA AKILI ZA WAPUUZI WA PALE UDSM KUDANDIA HOJA NA KUELEZEA WAPENDAVYO,KWA VILE NI CARELESS KM MIRENGO WANAYOIAMINI .
Sometimes ni bora wasisome, km nao ni hawa wajamaa wa wa propaganda wa UDSM. wanaweza kata tamaa kabisa na kumkatisha tamaa. Sasa km meta maada, alichotafsiri kimemwaminisha zaidi kuhusu mwandishi kwa kiasi anataka tuaminisha hiki kitabu ni factual kuanzia herufi ya kwanza hadi ya mwisho. Pengine asichojua hao jamaa ni smart zaidi na wanahitaji hizo toka kwa watu wasiojua hela km wajamaa. Watazikusanya hizo hela kutoka ktk mikono yenu kwa vile mnapenda habari mbaya km ushahidi wa kuthibitisha fikra zenu mbaya uwa kweli.
Sometimes ni bora wasisome, km nao ni hawa wajamaa wa wa propaganda wa UDSM. wanaweza kata tamaa kabisa na kumkatisha tamaa. Sasa km meta maada, alichotafsiri kimemwaminisha zaidi kuhusu mwandishi kwa kiasi anataka tuaminisha hiki kitabu ni factual kuanzia herufi ya kwanza hadi ya mwisho. Pengine asichojua hao jamaa ni smart zaidi na wanahitaji hizo toka kwa watu wasiojua hela km wajamaa. Watazikusanya hizo hela kutoka ktk mikono yenu kwa vile mnapenda habari mbaya km ushahidi wa kuthibitisha fikra zenu mbaya uwa kweli.
Umewaza kama mie mkuu domokaya, kipindi hiki ni kipindi cha mixed economy. Wanachanganya ubepari na ujamaa. Siyo mtaalamu sana wa mambo ya uchumi lakini afuatilia namna ambavyo nchi za Asia na second developed countries zinavyompa changamoto USA. Ukiangalia kwa umakini sana "economic model" ya hizi nchi utakuta kwanza "almost wanatengeneza bidhaa za kukidhi soko la ndani" then wana export extra products. Pamoja na kujitosheleza, wanaruhusu kuimport lakini kodi yake utajua mwenyewe kama uendelee au la.RedDevil, baada ya kumsoma huyu Perkins na pia kupata nafasi ya kupitia "Economic Development" kama model mpya ya uchumi baada ya kushindwa kwa model uchumi wa soko, nikapata hisia hawa watu wanataka kuiingiza hii model yao ya 'mixed economy' ambayo inataka kujikita katika kutoa social services na unafuu wa maisha wa aina fulani kwa watu wa nchi masikini. Yaani kama wanataka kukopa mambo fulani kutoka katika ujamaa na kuyaingiza katika ubepari. Nikifikiria zaidi naona kama lengo lao halichochowi na mapenzi yao kwa watu wa dunia ya tatu bali wanaona wakiendelea na unyonyaji wao wa namna ile watawachukiza watu wengi na kupata maadui wengi hivyo kupelekea ubepari na hasa nchi ya marekani kuanguka. Anyway, najaribu kufikiri na ningependa wengine wafikiri hawa jamaa wana mpango gani hasa!
Usikubali kutekwa akili na wazungu kirahisi namna hii. Ubepari wao una misingi ya miaka mingi. Kwa wenzetu kutolipa kodi ni kosa la kukupeleka jela hata kama jina lako ni kubwa kwenye jamii. Hatujakuwa na misingi mizuri ya kibepari kiasi cha kuenda sambamba na wazungu wa ulaya na marekani.
Tanzania bado tunaelea kwenye wingi wa kashfa. Bado ni mabepari wetu ni wale wenye uhusiano na mamlaka. Kaondoka Mkapa Ikulu ndio kina Prof Mahalu, Mramba na Yona wakaonekana hawafai. Kaondoka JK ikulu ndio tunasikia issues za DART na Lugumi. Akiondoka JPM Ikulu utasikia issues za awamu yake zinawekwa hadharani. Bado hatuna misingi sahihi ya kuuingia ubepari kichwa kichwa.