Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,838
25,260
Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.

Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana.

Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.

Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture. Au ulikuwa na shida zako. Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko.

Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa. Wanaume wa JF jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu JF siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu.

Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia JF nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote.

Acheni ujinga mnakeraaa. Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho.

Kila saa wadada wa JF andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
 
Kung'ang'ania usawa huku mwapiga Mizinga ni jambo lisilokubalika. Hamna mchango wowote chanya, hamna hekma na bado mwataka kutuchuna hovyo, na sisi hatukubali
Screenshot_20240116-142147_1.jpg
 
Back
Top Bottom