Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

Mshahara unanyonya? acha unafiki Magu unajua anakula kiasi gani kwa mwezi?
Mswahili siyo mtu anayezungumza lugha ya Kiswahili tu, bali pia ana wivu, anawaonea wengine gele, anaridhika na hali duni ya maisha na hataki mtu mwingine apate maisha bora zaidi yake, na mambo kama hayo.

Kulipwa mshahara wa kukidhi mahitaji ni kunyonya? Mnajua kuwa kwa stahiki zake rais wa nchi analipiwa kila kitu ili aweze kutenda majukumu yake bila kuwazia chochote kinachohitaji malipo?
Mswahili huyo huyo akisikia mfanyakazi aliyeko chini yake kapandishwa cheo, analalama! Mbaya zaidi ni pale anapolialia kuwa hali ya maisha ni ngumu.
 
Panga lipite,inawezekana wanastahili lakini sio kwa nchi changa kama hii,ila pia isije ikawa tunamuweka mzungu au foreigner yoyote kushika hiyo nafasi halafu mnamlipa tena 36m hapo hatutamuelewa mheshimiwa Rais.
Kumbe unajua kuwa mishahara ya watu kutoka nje ya nchi hususan waeupe wanaokuja kufanya kazi hapa kwetu kwa nafasi zilezile na pengine wasio sifa au zilizo sawa na za Waswahili huwa iko juu! Utakuja na neno uzalendo. Mie nasema ni ubaguzi.
 
Msidanganyane,amebana watu kupiga dili ila mishahara iko vile vile,hana huo mpango wa kupga panga,apige panga kwani yy anabeba sh ngapi kwa mwezi ?.
Je mawazri wake na manaibu waziri?.
Thubutu.
 
Rais=36M
PM= 26M
VP = 32M
Mawaziri=16M
Makatibu wakuu=15M
Hapo vipi?

Wakati huohuo Rais, PM na VP wakistaafu wanakula 80% ya mshahara wa rais, VP na PM wa wakati huo (ambao unapanda kila siku) hadi anaingia kaburini wakiti CEO wa kampuni akistaafu ndo basi: Hivi hao viongozi e. g VP ana kazi gani nchini ama ni kutoa tu matamko na kuhudhuria hafla?
Ohoo
 
Wamekula TATUMZUKA bila kutoa jasho!
Kwa kazi gani wafanyazo?!
Bongo lazima tuzinduke, ChukuwaChakoMapema ndio Siri ya umaskini wetu..
 
Back
Top Bottom