Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

Kwa Hiyo Manesi, Polisi, Waalimu, Wataalamu wa Taasisi mbalimbali nao Pia ni Punda, Ndio Unataka Kusema hao wanaolipwa Tsh Mil 40 Ni wanadamu na wanaolipwa Tsh 300,000 Ni Punda! Labda Nisaidie Hivi Umeshawahi Kufikiri Ni Kujitoa Kiasi gani, au akili ya Kiasi gani Inahitajika Kufundisha chekechea asiyejua aeiou, ba be bi bo bu Kusoma na Kuandika. Hawa waalimu Ni Kama Punda! au Unataka Kusema Nini nieleweshe, am Kind of slow, labda na Mimi ni mwana punda! Ni Kigezo gani Unatumia Kuniaminisha Mkurugenzi wa NSSF ana Ubongo zaidi ya Mwalimu wa Baiologia, au Afisa Utawala wa TRA ana Ubongo Kuliko Mwalimu wa hesabu Azania au Tambaza! Si hata Rais Alikuwa Mwalimu wa Kemia? au alienda Kwa Mungu akaongezewa Ubongo Kabla ya Kuwa Rais maana sasa Kwa Kigezo chako Ubongo huo Unmwezesha alipwe Mshahara Mkubwa sana kuliko livyokuwa Mwalimu wa Kemia, (Mtu Yule yule)
Sasa we huoni Magufuli ndiye mswaga punda?
Ok. Punda naomba lisitumike vibaya, ni concept tu!
Just imagine Bade, Mchechu, Dau wangekuwa wanalipwa 2 mil per month lkn wewe unawahitaji wasimamie serikali ktk mikataba ya trillions of shillings? Wasimamie pesa za umma, billions ktk cash na assets Kibao, hivi kweli tungekuwa hata na haki ya kujadili uadilifu wao?
Mimi napata 1.5 m take home lkn mahitaji yangu yananikimbiza na muda mwingi naiba muda wa mwajiri wangu kujipatia ridhiki ndogondogo kusukuma siku!
Thank God sina usimamizi wa rasilimali, natoa huduma tu, lkn kama ningekuwa nasimamia rasilimali zinazozalisha ningewapiga tu watanzania au ningetoka ktk kihota changu na wajanja wangeapiga tu watanzania mali zenu!
Ulifikiri kirahisi utalalamika lkn kwa kuwalipa vema Hawa watu utalinda rasilimali nyingi zaidi kuliko kuwapunja!
At 30m bado hao magwiji walikuwa hawatojadli sembuse wangekuwa wanakula 2-3m!
Jaribu kufikiri kwa kina, usiwe too emotional!
Kwa taifa letu walimu wengi hawakuwahi destined kuwa hivyo Ila ni fate tu imewapeleka huko, nao wana wish kukaa katika mirija na kunyonya! Wana uza team nao in a way kwa spend hours wakiuza ubuyu au tuition fake na kula pesa zetu! Kama mtumishi akilipwa vema ataisimamia kazi yake, so mpe kiduchu Mchechu uone kitakachotokea!
 
Mkurugenzi wa shirika la umma analipwa 36m Rais wa nchi 9.5m mwalimu 360,000, baamedi kutegemea kreti alizouza, housegirl 40,000 JPM sawazisha hii mpaka tuwe levo.
 
Wivu mkubwa sana.

Mambo ya sijui nchi masikini sijui mishahara mikubwa hayo hayana nafasi, sijui kue na uzalendo hayo hayana nafasi.

Mfano kuna mtanzania juzi nimeona kachaguliwa kua makamo wa rais wa african development bank,yule mnataka akiombwa aje kua gavana mumlipe milioni 5,hakuna taahira atakaekubali hayo.

Wakurugenzi wengi wa mashirika ya umma wameombwa kuja kua wakuu,huko walikua wanalipwa mpunga mrefu alafu mnataka wakija tz wakubali kulipwa kidogo,uzalendo uliisha enzi za nyerere.

Hakuna mjinga atakubali hayo,watu wana wivu na hiyo mishahara lakini hakuna atakaepewa huo mshahara akaukataa,hata rais analipwa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka na hajaukataa huo mshahara.

Watu waache wivu,punguza mishahara ila tegemea wizi na mikataba mibovu,enzi za nyerere yalikua hayo na nchi ilimshinda.
hakuna kitu hapo,.. wengi wanaorudishwa kua ceo's wanarudishwa kiushikaji wala sio kama hapa nchini hakuna watu wenye uwezo. mbona badala ya kuongeza ufanisi wanaongeza ulaji na midili.
 
Ili aweze kushinda vita vya ufisadi namshauri Rais aungane na wananchi kurejea kwenye katiba iliyopendekezwa na Tume ya Warioba.Pili amwachie mtu mwingine uenyekiti Wa ccm. Wananchi wana imani ataenfelea kuwa Rais wao.
Napingana na wewe kwa asilimia zote kuhusu uenyekiti kuachiwa mtu mwingine.Lazima Mwenyekiti awe Magufuli ili akisafishe chama.Tumeona walivyomzunguka swala la Zanzibar mpaka tukanyimwa misaada.Watanzania tulimchagua Magufuli kutokana na rekodi yake na sio kwa sababu ya CCM kwa hiyo tusiwaachie CCM wamvuruge.Bora awe mwenyekiti ili atumbue majibu yaliyojibanza kwenye chama.
 
Sio kweli..... Watanzania wapo wenye uwezo mkubwa sana tena wanaofanya kazi nchini kwa uaminifu mkubwa sana...
Kwanza huyo alopigiwa magoti ana kipi cha ziada kasoma masomo ambayo wengine hawakuwai kuyasoma...??
 
Mawaziri wenyewe wanachukua mishahara miwili, ya ubunge na uwaziri, ukifanya jumla yake utaona ni around 50mil per month halafu tunalalamika kunyimwa pesa za MCC.
Rais alitupie macho na hili pia.nchi ni yetu sote jamani.mtu analipwa kwa siku 1.2 milioni na mwalimu analipwa elfu ishirini au thelathini kwa siku...usawa uko wapi..tofauti ni kubwa sana.
 
Sasa we huoni Magufuli ndiye mswaga punda?
Ok. Punda naomba lisitumike vibaya, ni concept tu!
Just imagine Bade, Mchechu, Dau wangekuwa wanalipwa 2 mil per month lkn wewe unawahitaji wasimamie serikali ktk mikataba ya trillions of shillings? Wasimamie pesa za umma, billions ktk cash na assets Kibao, hivi kweli tungekuwa hata na haki ya kujadili uadilifu wao?
Mimi napata 1.5 m take home lkn mahitaji yangu yananikimbiza na muda mwingi naiba muda wa mwajiri wangu kujipatia ridhiki ndogondogo kusukuma siku!
Thank God sina usimamizi wa rasilimali, natoa huduma tu, lkn kama ningekuwa nasimamia rasilimali zinazozalisha ningewapiga tu watanzania au ningetoka ktk kihota changu na wajanja wangeapiga tu watanzania mali zenu!
Ulifikiri kirahisi utalalamika lkn kwa kuwalipa vema Hawa watu utalinda rasilimali nyingi zaidi kuliko kuwapunja!
At 30m bado hao magwiji walikuwa hawatojadli sembuse wangekuwa wanakula 2-3m!
Jaribu kufikiri kwa kina, usiwe too emotional!
Kwa taifa letu walimu wengi hawakuwahi destined kuwa hivyo Ila ni fate tu imewapeleka huko, nao wana wish kukaa katika mirija na kunyonya! Wana uza team nao in a way kwa spend hours wakiuza ubuyu au tuition fake na kula pesa zetu! Kama mtumishi akilipwa vema ataisimamia kazi yake, so mpe kiduchu Mchechu uone kitakachotokea!
Nakuelewa Sisemi 2 Mil, Labda 5 to 15 mil, lakini Mwenye Tamaa hata ukimpa milioni 40 Atataka Bilioni 1.8 za Mboga! Kwa Hiyo Ni Tabia tu, Na Pia Kumbuka Maafisa hawa wanapewa Nyumba, Magari, Watumishi etc! Jamani Kufanya Kazi serikalini ni Huduma kwa Jamii, Ukitaka Utajiri Kaanzishe Biashara, Viwanda etc! Achana na Utumishi wa Umma
 
Mtu analipwa pesa mingi utadhani anaunda ndege kumbe kasomea ka " yumani risosi" anatishia tishia Tu na kimombo.
Piga pangs hiyo mishahara asiyetaka aache kazi. Mtu analipwa kwa mwezi mshahara sawa na ya miezi 100 ya mwalimu,khaaa!!
Yaani kwasiku zakaz mtu analipwa 1,800,000/- duuh!
hii nchi ilikua inakwanguliwa kama vocha!!
 
Ukitaka kujua na kuelewa thinking capacity ya watanzania tembelea jamii forum uone michango yao... Kila kitu ni ushabiki wa kufuata mkumbo usiokuwa na connection na ubongo. Ifike muda tuwe tunaupa ubongo ututawale na sio mioyo iliyojaa chuki dhidi ya watu kadhaa nchini..

Nachelea kusema kuwa mtu kilipwa mshahara wa milion 50 au 30 kwa mwezi sio issue as longer as ni assets. Nikiwa na maana ni mtu ambae kama akifanyiwa evaluation ya kazi yake tunaone tangiable achievements kwenye sekta yake... Narudia tena sina shaka na ukubwa wa mishahara tena kwa watumishi wa umma jambo la muhimu ni kuhakikisha watumishi hao wanafanyiwa evaluation kama wameongeza kitu kwenye taasis zao.

Ni lazima ifike point tuseme na tuone kuwa gap la tofaut ya mishahara la watumishi wa umma haliwezi kuzibwa kwa kukata au kupunguza mishahara ya watu bali kuwaongezea mishahara watumishi wenye mishahara midogo... Tunasema kila siku kuwa nchi yetu ni tajiri kwa nini hatuwaongezei walimu mishahara? ...

Badala ya kutoka kwenye hali ya watumishi wetu kulipwa mishahara midogo leo tunapunguza mishahara ya watumishi.. Si kwamba napinga jitihada hizi ila wasi wasi wangu ni kutokuona jitihada zozote za kuinua mishahara ya watumishi wengine ambao kwa miaka nenda rudi wanalia mishahara kuwa midogo...
 
Kulipa mishahara mikubwa kupita kiasi hasa kwa maCEO ni njia inayotumiwa na makampuni binafsi (sio ya umma) katika nchi za ubepari uliokomaa kama mkwara (prestige) na haina uhusiano wowote na kuongeza tija au kuchochea uadilifu. Hii ilidhihirika wakati wa mkwamo wa kiuchumi wa 2008 ambapo makampuni yaliyokuwa yanaongoza kwa kulipa mishahara kufuru huko US na UK ndiyo yalikuwa ya kwanza kuporomoka! Na baadaye ilithibitika kuwa ulipaji huo wa mishahara ulikuwa ni ufisadi mtupu na serikali za nchi hizo zikaifuta na kuweka ukomo wa juu (ceiling) wa mishahara ya maCEO. Kiuhalisia, binadamu haitaji kulipwa zaidi ya 'living wage'.
 
Rais alitupie macho na hili pia.nchi ni yetu sote jamani.mtu analipwa kwa siku 1.2 milioni na mwalimu analipwa elfu ishirini au thelathini kwa siku...usawa uko wapi..tofauti ni kubwa sana.
Nakuhakikishia walimu wangekuwa wanalipwa kiasi hicho ulichokitaja hapo tusingesikia malalamiko yao ya mara kwa mara.
 
Nachukia sana jinsi mh raisi asivyo tumia mbinu za kiutawala ....sioni kitu zaidi ya kutafuta media coverage zaidi ni kuendeleza machungu.....too late!mtu ana mshahara wa 36milion ....now anaenda chukua mkopo paka nukta ya mwisho then unakuja sema mshahara upunguzwe na mtu ana mkopo tayari mkubwa tyuu....itawezekana???.....my take a good leader leads by doing not talking!.....do something then inform the general public what u have done n not u have planned to do!....by the way u had enough time for compaign mr president !its enough!!!!....we are tired of unfulfilled promises and continuous manifestations!.....its a time for change and the count down starts now.....
Tulia ukamuliwe
 
Anayo Fanya magufuli hayahusiani Na ccm kabisa kwani wao ccm ndio wa asisi wa majanga yote!
 
Tathmini makini inaitajika kupima productivity ya kila raia katika kuyafikia maendeleo tunayoyaota, kuanzia kutathmini mfumo mzima wa serikali, vyeo kama mkuu wa mkoa/wilaya nk. Pia mikoa/wilaya feki tuliyoiunda, jinsi ya kupata wakuu Wa taasisi za umma pamoja na mamlaka yaliyopitiliza ya rais. Bila kusahau 'separation of power' hili tuwe na bunge lenye meno, kinyume na hivyo akili zetu zitakuwa zinajadili mambo madogo yasiyo na tija
 
Back
Top Bottom