butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,626
- 7,909
Kwaiyo wanaingia mkataba wa kucheza litungu na sindimba?Kuingia makubaliano na serikali nyingine ndio biashara?
Kwaiyo wanaingia mkataba wa kucheza litungu na sindimba?Kuingia makubaliano na serikali nyingine ndio biashara?
Wote waliochanjwa wajiandae kisaikolojia kuwa mashogaNaanza kupata mashaka makubwa kuhusu chanjo za COVID-19 zilizoletwa Afrika, pengine zina athari hasi akilini mwa wachanjwaji. Hii si bure kabisa. Ebu tuzidi kujifunza zaidi kuhusu mashaka haya.
Dr. Fauci na Billgate Foundation pengine walikuwa na hila mbaya sana na ya siri kuhusu Afrika. Pengine hili pia linahusiiana na agenda ya ushoga. Mungu amzidishie afya njema M - 7.
Kwao Zanzibar wanaangalia maslahi ya wananchi kwetu Tanganyika wanaangalia matumbo yao na watanganyika tumelala huku bandari zinagawiwa waarabuHuku kwetu tuko makini tunazingatia maslahi ya wananchi wetu kwanza. Matanganyika bana sijui mkoje
View attachment 2662780
Hatuna shida na uwekezaji tatizo letu ni mkataba wa kuziuza bandari zetu za TanganyikaJe, mnawakumbuka hawa watu; Madeni Kipande, Awadhi Massawe, Desdedith Kakoko?
Kama mngejua 1) negligence, 2) mismanagement, 3) laxity, 4) grand corruption inayoendelea pale bandarini, wote tungeungana na serikali kumkaribisha DP world kwa mikono minne.