Ulitaka apewe mamakoHeshima sana wanajamvi,
Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.
Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.

Hawa walikuwa wanaume, au?Margret Thatcher, Angela Markle, Indira Ghandi, Ms Bandaranaike, Ellen Johnson Sirleaf, Golda Meir, Sheikh Hassina, Jacinda Arden,,.......etcTangu lini mwanamke akawa kiongozi?
Hao ni wanachama wa CCM?Hawa walikuwa wanaume, au?Margret Thatcher, Angela Markle, Indira Ghandi, Ms Bandaranaike, Ellen Johnson Sirleaf, Golda Meir, Sheikh Hassina, Jacinda Arden,,.......etc
In Profesor Tibaijuka voicemkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe ushahidi wa hivo vitu kuuzwa?Heshima sana wanajamvi,
Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.
Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.
Sio wanatuona wajinga ndio sisi ni wajinga haswaaHeshima sana wanajamvi,
Naomba kujuzwa hivi kufungua nchi maana yake kuuza Bandari, kuuza Airport, kuuza mapori yetu na nk.
Unajua nafika mahali nashindwa kujua hawa watawala wetu wanatuona sisi wajingaaaa.
Hakuna tusi kubwa zaidi ya hili kwa nchi yetumkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ww ndio una akili kuliko waziri wako anayesema ni mkataba.Uelewa wako ni mdogo sana kilichosainiwa na kuridhiwa na bunge ni makubaliano ya kushirikiana kati ya Tanzania na Kampuni ya Dp world sio mkataba, mikataba itakuja baadae kwa ajili kusainiwa
Kwa hiyo hao serikali ilishindwa kuwathibiti? Hii serikali yenye mamlaka ya kuuza bandari?Je, mnawakumbuka hawa watu; Madeni Kipande, Awadhi Massawe, Desdedith Kakoko?
Kama mngejua 1) negligence, 2) mismanagement, 3) laxity, 4) grand unaoendelea pale bandarini, wote tungeungana na serikali kumkaribisha DP world kwa mikono minne.
MamakoTulitaka apewe shoga mwenzako