Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,303
- 1,301
Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake.
Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua atalindwa na mfumo.
Hizi sera za ubinafsishaji na uwekezaji ni kichaka muhimu sana kwa watawala kuuza rasilimali za nchi na Mali za umma.
Wakoloni hawakutuvamia kijeshi Ili kututawala walitumia mikataba ya kilaghai kwanza na ndicho kinachofanywa hata Leo na wenye akili Ili kuchukua Mali zetu Tena kwa kuwatumia watawala wetu wabinafsi na wajinga.
Sasa wadau hapa tutakuwa tuna weka au kutaja kitaam na kisheria zile rasilimali za nchi au mashirika ya umma ambayo kwa namna Moja yameuzwa au wameonewa wawekezaji kwa miaka mingi na taifa halinufaiki na chochote. Na hapa ni kwa awamu zote SI kwa Samia tu, Ili tuweze kupima ni kwa kiwango au kiasi Gani tumeuzwa na kimebaki nini mikononi mwetu.
Tukianza na:
(1) Hili la bandari zetu kupewa waarabu kwa kisingizio cha uwekezaji na ubinafsishaji.
(2) Loliondo na ngorongoro
(3) NET GROUND
(4) TTCL
(5) ATCL
(6) Migodi mbalimbali n.k
Na mengine mengi wajuzi wa mambo tusaidieni tusiyoyajua.
Ahsanteni sana na karibuni.