Mashine za Kusaga na Kukoboa Nafaka

Oct 12, 2014
78
48
Habari Ndugu zanguni,

Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupata mashine za kusaga na kukoboa kwa gharama nafuu na zenye guarantee/warranty za kueleweka.

Nitashukuru kama utainclude capacity yake base on its throughput (tonnes/hour) na horse power ya motor.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu na Please tuache mambo ya pm na tuyaweke yote hapa hadharani
 
Tangu nizaliwe cjawahi ona mashine za kusaga na kukoboa,

Nishaona mashine za kukoboa na kusaga tu.
 


Mi ninazo nauza bei nzuri sana, nimekoswa wa kusimamia muradi, ipo ya kusaga complete set, kinu size 100 na motor ni used ya UK 30Hp pia nina kinu pekee cha kukoboa size ya roller nne. Hizi ndo size za mwisho kwa ukubwa wa vinu ya kusaga na kukoboa.

Kama upo Dar naweza kukubali malipo kwa installment

0784800989 - Nipo Kigamboni
 
ok sorry nilisahau kuweka bei wakuu.

Motor bei yake 1,000,000

Vinu kila kimoja 1,500,000 so kwa vyote 3,000,000
 
Nauza motor 4 horsepower mpya inafaa kwa mashine ya kukoborea na kusababisha kwa shilingi laki nne tu
 
hakika ni bei nzuri, uzi wa zamani sana bilashaka umeshauza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…