Masaju, Uttoh, Chenge, Lissu: Hatuna chetu kwenye mchanga shida ni sheria hatutashinda kokote kule.

Status
Not open for further replies.
Lissu ni mzalendo. Kupaza sauti kwake mapema,hata ikijaonekana mapungufu baadae, kumesaidia kupanua ufahamu kwa wengi! Hii ndo tabia za kizalendo zinazotakiwa,kuliko ile ya kujua jambo na kukaa kimya .
Nikweli kabisa Lissu ni hazina ya watanzania ingawa kuna baadhi hawampendi kisa yupo upinzani
 
angalau kwa hili masaju kasimamia kwenye ukweli. kaamua kuacha vigelegele.....
This is too late. Lakini alikuwa wapi hata asimshauri Mkuu wake tangu mwanzo? Au ndo tuseme boss hashauriki?

Au ameyapima maneno ya wanayemuita "mpiga kelele " Lissu akaona yana ukweli. Wameshaharibu, how do they mend it now?
 
Sidhani kama hayo ni meneno ya AG Masaju,hayo yaliyonukuliwa ni maneno ya Tundu Lissu,sidhani kama Masaju ndio aliyasema hayo maneno.

Nimesikiliza video fupi mtandaoni,hiyo nukuu aliyowekewa AG Masaju ilisemwa na Lissu,na aliposema "Maamuzi ya kijinga ya Rais",yule Mama Jenista aliomba Lissu afute hayo maneno,akasema si ya kibunge.Nafikiri kabla ya machweo ya jua la leo na jogoo la kesho kuwika,AG Masaju ataikana hiyo nukuu.Tanzania Daima wajiandae kuomba "Radhi".

Jana nilishangaa kidogo,pale Lissu aliposema maamuzi ya "kijinga" toka kwa mkuu wa nchi,Jenista akasimama akasema "sio lugha ya staha kwa Rais",Lakini nikajiluliza,mbona Rais alimuita yule Katibu Mkuu wa Nishati "Stupid?"...Rais aliwahi ita watoto wa wenzake "vila.za"....Anachofanya baba,ndicho watoto wanaiga.Walio karibu na mkuu,nao wamkumbushe ajaribu kuhimili "hasira",matokeo yake anatukana watu na watu nao wanamtukana.

Bila shaka walioitwa "vila.za" na yule aliyeambiwa "Stupid",wakisikia Rais kaambiwa anafanya maamuzi yq "kijinga" nao watafurahia na si kuhamaki kama Jenista Mhagama
Aliyeitwa stupid pengine alikuwa Mwalimu wake pale UDSM
 
Hakuna jambo analolianzisha Mhe Rais au wateule ambalo limefanikiwa kwa hata 60% au hata kujaribu kuwaleta Watanzania karibu na kuwa kitu kimoja!

Si sakata la sukari,madawa ya kulevya,uhakiki wa silaha na hili la mchanga!
Baada ya kuona upepo unavuna ndivyo sivyo,akaamua kumteua Sirro na kumtengua Mangu,ila kubadili upepo wa kisiasa,lakini wapi!

Rais apunguze mihemuko na antics zakutaka kujijenga kisiasa kwa kila jambo linalogusa masilahi ya kitaifa!

Hili nalo ameshaferi kama swala la kuonyesha salary slip!
 
Gazeti takataka linawalisha watu maneno kufanikisha malengo yake. Meena yupo kazini. Mwisho wa yote wema hushinda uovu.
 
Wasema ndioo kwa sauti kuu wataumbuka muda sio mrefu kama kawaida yao ya kuumbuka. Lakini wakati huo nchi itakuwa imesha umia.
 
Kama sitakosea msinisahihishe bandugu
"Power without control is nothing"
 
angalau kwa hili masaju kasimamia kwenye ukweli. kaamua kuacha vigelegele.....
Yeye ni mwanasheria na kaona huko tuendako lazima NYEUPE itabakia NYEUPE na NYEUSI itabakia NYEUSI hakuna nafasi ya kuchakachua kwa mzungu
 
Hivi lakini me sioni ubaya wa kusitisha kuuza hayo makotena ya mchanga nje.

Nia ya Rais ni nzuri kabisa. Tena sana. Alichokosea ni kitu kidogo tu. Timing!!

Bila ushabiki afuate ushauri aliotoa Tundu Lisu. Hili jambo litafanikiwa sana.
 
Hakuna mtu ana bisha mchanga kuwa wao kimkataba. Sisi shida yetu ni kujua ukweli wa wanachochukua ndani ya huo mchanga ili gawio letu pia liwe la haki.

Wanasheria ni vilaza wa hesabu lakini kweli mbashindwa kujua hata hesabu rahisi hizi za %?

Hakuna anayetaka kuwadhulumu wala kudhulumiwa. Kwa udanganyifu wao tujenge hoja ya kuvunja mikataba hii mibovu.
 
Sidhani kama hayo ni meneno ya AG Masaju,hayo yaliyonukuliwa ni maneno ya Tundu Lissu,sidhani kama Masaju ndio aliyasema hayo maneno.

Nimesikiliza video fupi mtandaoni,hiyo nukuu aliyowekewa AG Masaju ilisemwa na Lissu,na aliposema "Maamuzi ya kijinga ya Rais",yule Mama Jenista aliomba Lissu afute hayo maneno,akasema si ya kibunge.Nafikiri kabla ya machweo ya jua la leo na jogoo la kesho kuwika,AG Masaju ataikana hiyo nukuu.Tanzania Daima wajiandae kuomba "Radhi".

Jana nilishangaa kidogo,pale Lissu aliposema maamuzi ya "kijinga" toka kwa mkuu wa nchi,Jenista akasimama akasema "sio lugha ya staha kwa Rais",Lakini nikajiluliza,mbona Rais alimuita yule Katibu Mkuu wa Nishati "Stupid?"...Rais aliwahi ita watoto wa wenzake "vila.za"....Anachofanya baba,ndicho watoto wanaiga.Walio karibu na mkuu,nao wamkumbushe ajaribu kuhimili "hasira",matokeo yake anatukana watu na watu nao wanamtukana.

Bila shaka walioitwa "vila.za" na yule aliyeambiwa "Stupid",wakisikia Rais kaambiwa anafanya maamuzi yq "kijinga" nao watafurahia na si kuhamaki kama Jenista Mhagama
Mhagama anapigania mkono kwenda kinywani tu hana ajuwalo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom