Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,993
- 9,402
Mmiliki wa ASAS kuna kelele zinapita kwa watu kuhisi una nguvu sana katika serikali hii wakiunganisha na uhusiano wako na timu Msoga.
Magari yako ya mafuta yamekuwa kero sana hasa jioni yakiwa yamepark na kuchukua sehemu kubwa sana ya barabara.
Kero hii inasababisha kutengeneza foleni kubwa sana kuanzia kituo cha Bucha mpaka Kimara mwusho, wengi wanadai hakuna mtu wa kukugusa.
Polisi wa barabarani nao wameshindwa kbs kutoa kero ya foleni kwa kuwadhibiti Bajaj na Daladala ambao wanagoma kuingia kwenye kituo chao na kishusha abiria matokeo yake wanashushia barabara kuu.
Na Kimara kuna kituo cha polisi wanashindwa nini kutoka na kuja kisaidia kuondoa kero hii.
Pia soma
Kituo cha orxy kimara resort kinaweka foleni katika barabara ya Morogoro road.
IGP Sirro: Namshukuru sana ASAS kwa kutujengea ghala la kuhifadhia silaha mimi ni mwenzenu nimesoma Tosamaganga High school!