Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 4,981
- 6,262
Wazenji wanaogopa kuandamana kwa kuogopa kuvunjwa miguu na kuuawa na si eti kibaraka cha BARA kilichopo pale kinakubalika.Aiseeeh.......Huyo wanaemtaka atawale ni kwa ajili ya matakwa ya U.S.A au kwa ajili ya matakwa ya WAZANZIBAR???
Kama ni ajili kwa matakwa ya wazanzibar MBNA HAO WAZANZIBAR wapo kimya mpaka sasa hawaaandamani kuingia barabarani kudai HAKI YAO??? ukimya wao ni kithibitisho tosha ya kuwa ALIYEPO MADARAKANI KWA SASA ndiye waliokuwa wakimhuitaji.....
Kwa upande wangu nathubutu kusema kabsa huyo wanaemtaka atawale zanzibar ni kwa ajili ya MATAKWA YAO HAO U.S.A NA SI WAZANZIBAR ndio maana wao wapo mstari wa mbele kweli kulizungnumzia hili kuzidi hata waliopiga kura........EBU WATUACHE WASITAKE KUTULETEA MACHAFUKO NCHINI KWETU....