MAREKANI: Mwanasheria Mkuu, Jeff Sessions amtimua kazi Naibu Mkurugenzi wa FBI

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
MAREKANI: Mwanasheria Mkuu, Jeff Sessions amtimua kazi Naibu Mkurugenzi wa FBI, Andrew McCabe ambaye alibakiza siku 2 kabla ya kustaafu

McCabe alishika wadhifa huo mara baada ya Rais Trump kumtimua kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa FBI, James Comey mnamo Mei 9 mwaka jana(2017).

Katita taarifa ya kumfuta kazi, Jeff Session amesema kuwa McCabe hakuwa mkweli na alivujisha taarifa kwa Wanahabari na aliwapotosha wachunguzi wakati wakifuatilia tuhuma dhidi yake.

Ikumbukwe kuwa McCabe alihusika kwa kiasi kikubwa katika kuchunguza tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi Mkuu wa Marekani pamoja na sakata la barua pepe za Bi. Hillary Clinton

Mapema leo Rais Trump kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ameandika kwa furaha kuwa '' Andrew McCabe amefukuzwa kazi, ni siku nzuri sana kwa wachapakazi wote Wanaume kwa Wanawake ndani ya FBI, ni siku nzuri kwa Demokrasia. Na kumtuhumu kuwa alikuwa akijua kila uovu uliokuwa ukiendelea ndani ya FBI

Kwa upende wake McCabe amesema kuwa amefanyiwa yote hayo kutokana na mchango wake alioutoa baada ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa FBI, James Comey

=====



WASHINGTON — Attorney General Jeff Sessions says he’s fired former FBI deputy director Andrew McCabe, effective immediately.

Attorney General Jeff Sessions late Friday night fired former FBI deputy director Andrew McCabe, a little more than 24 hours before McCabe was set to retire — a move that McCabe alleged was an attempt to slander him and undermine the ongoing special counsel investigation into the Trump campaign.

Sessions announced the decision in a statement just before 10 p.m., noting that both the Justice Department inspector general and the FBI office that handles discipline had found “that Mr. McCabe had made an unauthorized disclosure to the news media and lacked candor — including under oath — on multiple occasions.”

He said based on those findings and the recommendation of the department’s senior career official, “I have terminated the employment of Andrew McCabe effective immediately.”

The move will likely cost McCabe a significant portion of his retirement benefits, though it is possible he could bring a legal challenge. He responded on Friday night with a lengthy statement, claiming he was being targeted because he was a witness in special counsel Robert S. Mueller III’s probe into whether the Trump campaign coordinated with Russia and asserting that his actions were appropriate. He also alleged former FBI Director James B. Comey knew about the media disclosure about which the inspector general has raised questions.

Early Saturday morning, the president weighed in with another shot at Mr. McCabe, posting on Twitter that it was “a great day for the hard working men and women of the FBI.”

✔@realDonaldTrump


Andrew McCabe FIRED, a great day for the hard working men and women of the FBI - A great day for Democracy. Sanctimonious James Comey was his boss and made McCabe look like a choirboy. He knew all about the lies and corruption going on at the highest levels of the FBI!

“This attack on my credibility is one part of a larger effort not just to slander me personally, but to taint the FBI, law enforcement, and intelligence professionals more generally,” McCabe said. “It is part of this Administration’s ongoing war on the FBI and the efforts of the Special Counsel investigation, which continue to this day. Their persistence in this campaign only highlights the importance of the Special Counsel’s work.”
 
Siku hizi siasa za USA sizielewi naona zimekaa kama za comedy comedy sema uzuri kila mtu anaweza kushitakiwa kule na hawawekani kwenye viroba
 
Back
Top Bottom