Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu

..Wamarekani wanathamini sana uhai wa raia wao, kuliko uhai wa raia wa mataifa mengine.

..Wamarekani wanawavalisha Polisi wao body cameras ili ikitokea wameua raia ijulikane nini kilitokea.

..Na ikiwa Polisi ndio wenye makosa, hatua za kinidhamu, na kijinai huchukuliwa, na familia iliyopoteza ndugu yao hulipwa fidia.

..Na kwa Wamarekani uhalifu ukitokea hatua za haraka huchukuliwa. Kwa mfano, wahusika wa majaribio ya kumuua Donald Trump walijulikana ndani ya muda mfupi.

..Tunayo mengi ya kujifunza toka kwa Wamarekani.
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Nani alimuanza mwenzake? Until mtakapo acha bakuli na kuomba omba sana. Huna financial power ya kumzidi marekani kwa namna yoyote ile so yes hamna la kuwafanya, hamuwez kumtingisha
 
Kwamba ukiwa mchepuko wa mume wa mtu hupaswi kuambiwa cha kufanya wakati yeye ni sponsor wako?
Sponsor anaweza akakuambia leo analala chumbani kwako wewe kalale sebuleni Hahahahahahahahahahaha
 
So mleta mada hata kama ni chawa wa Samia ajipange upya anavyotaka kueleza watu wazima jambo
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Nadhani ana kadi ya Chadema
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Ni wajibu wa jumuia za kimataifa, ikiwemo Marekani kukemea na kulaani serikali zinazoteka na kuua wananchi wake.

Bila kujali huko Gaza pamekuwaje.

Halafu, kitendo cha Marekani sijui kuwasaidia Gaza haihalalishi serikali yetu kuteka na kuua raia, au kufumbia macho vitendo hivyo.

Nitaenda kuandamana tarehe 23.
 
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu

KULE WANAUAWA MAGAIDI. SO MNATAKA NA NYIE MUACHIWE TU? INA DHAMINI VIPI WEKA USHAHIDI WEWE KINEMBE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…