Marejesho: Mke wangu hataki kufanya mapenzi na mimi kabisa

Hongera sana Mkuu, hayo ndiyo maamuzi sahihi ya mtu aliekomaa. Maisha yenyewe haya, halafu akuletee stress za kipuuzi wakati kusudio la ndoa ni kufarijiana. Mbaya zaidi hataki kutafuta suluhisho wala kujisumbua ili mlitatue pamoja.
Wanawake wako wengi sana, utapata mtu mwenye appetite na mambo kama hayo sio wa kufugwa tu bila kukupatia raha ya tendo la ndoa.
 
Mkuu we mpole sana huyo angetakiwa ale talaka ya mateke na mbao za kutosha ili arudi kwao na kilio.
Mtu kapelekwa kwa wataalamu ili wasuluhishwe na kupata ufumbuzi, kanunuliwa ticket akabadili mazingira ajirudi, bado mtu hasomeki tu, wa nini sasa?
Hata angekuwa mwanamke kaomba talaka katika mazingira kama haya, Ningemsupport kwa nguvu zote. Hamna namna.
 
pole sana mkuu,ila ndoa ndio kipimo cha ukamilifu wa mwanaume,inataka uvumilivu na kusameheana kwingi,ungemsikiliza anataka nini?pia ungempa muda kidogo, kwenye ndoa kuna mengi zaidi ya sex mkuu, Je hamkuwa na watoto?
 
Sometime tunalazimika kuchukua maamuzi mahumu sana. Pole ndugu
 
Suala la kugawana kitu chochote na mwanamke mama Wa nyumbani kwangu halipo kabisaa, labda aniuwe arithi. Nitagawana Mali na mwanamke mchakarikaji au mwajiriwa, anayechangia pato la familia, akiniona nimejiinamia nawaza ananiuliza kulikoni, nikimwambia hesabu haziendi nahitaji milioni saba anabiambia ana tano kwenye akaunti tufikirie tunapataje mbili! Siyo yupo tu nyumbani, nimemwajiria wasaidizi wawili, halafu akiona maisha yanaenda vizuri aanze visa ili tuachane tupasue Mali katikati, itakula kwake, atapatwa na mshangao Wa mwaka kitachotokea!
 

Hata hao Wa ndoa za kanisani mbona wanaachana kila kukicha huku mitaani!!!
 
Pole mkuu du sijapata kuona mwanamke anakataa kutombw.....ninacho jua mwanamke huwa wa kwanza kutaka kutombw.... ukishagusa sehemu sehemu,chukua jiko lingine
 
Mmmh! Yaweza kuwa alikuwa anakuepusha ña balaa, Labda kagundua afya yake si nzuri, Ila kukwambia alikuwa anashindwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…