Unazungumzia wenye dread rock au wale wanaonyoa vipara au hujui km rasta wana madhehebu pia?Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Sio kweliWengi wao tamaa za kimwili haziwaendeshi ndo maana wanapendwa na wanawake wa kizungu.
Ni kwa mujibu ya niliokutana nao, inaweza kuwa kweli na isiwe kweli pia.Sio kweli
Sio kweliNi kwa mujibu ya niliokutana nao, inaweza kuwa kweli na isiwe kweli pia.
wengi ni OGKuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Ukweli ni upiSio kweli
Siku hizi hawaangalii hivyoKwahio niwe baba yeyoo au rasta ili nipate mzungu?
Jamaa wapo Peace sanaUkweli ni upi
Yes my Boss ni Rasta, ila hana dreadlocks.... Kama Rasta ni imani basi ni imani nzuri sana. A very cool guy, intelligent, calm and collected.Watu wengi hawajui tofauti ya Rasta na dreadlocks.
Rasta ni imani wakati dreadlock ni nywele. So usijekushangaa ukakutana na rastaman mwenye kipara.
Sacrament(code)Jamaa wapo Peace sana
Kanisani kwenu mnatumia mkate na divai km Mwili na Damu ya bwana Yesu wao hawatumii hio kitu mnatumia, hapo sasa usiulize wanatumia nini
Ushawahi kushiriki Ibada zake?Yes my Boss ni Rasta, ila hana dreadlocks.... Kama Rasta ni imani basi ni imani nzuri sana. A very cool guy, intelligent, calm and collected.
Najifunza vingi kwake, tatizo mi napenda nyama 😂😂😂😂