Marafiki

Illegal fishing 😹😹
Wewe Dan ME kwann ukomalie kampani ya jinsia KE??

Halafu unadai urafiki sio wa kimapenzi, hivi unaweza kuufanya muwa km fimbo ya kutembelea na usiule?? Acha zako wewe 😹😹😹
 
Illegal fishing 😹😹
Wewe Dan ME kwann ukomalie kampani ya jinsia KE??

Halafu unadai urafiki sio wa kimapenzi, hivi unaweza kuufanya muwa km fimbo ya kutembelea na usiule?? Acha zako wewe 😹😹😹
Utakulaje kitu ambacho huna ham nacho alaf wanawake ni best coz siwezkua nachat na boy everyday kuwa na urafiki na mwanamke inawezekana sana tu kwa mwanaume anaejua nn anafanya
 
Back
Top Bottom