Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,717
- 239,324
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara .
Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia ili kutoa Mwongozo wa miaka 60 ya Muungano
=========
Tulishasema Chadema siyo Chama cha Kiangazi , Mwamba akiingia Musoma Mjini na Mvua kubwa mno , lakini mambo yanaendelea
Mambo ndio kama mnavyoona