Rais Salva na Makamu wake wote wamo ndani ndani ya akili
Nimesharekebisha,asante
Penye rangi fafanua.
dadeki,sasa salva na mwenzie huko ndan hawazchapi na wao kweli?Kumetokea mapigano makali nje ya kasri ya rais wa Sudan ya Kusini,
Mpaka sasa kuna sintofahau chanzo cha mapigano hayo,
Rais Salva na VP Riek wote wako ndani ya ikulu
Mawasiliano ya simu yamekatwa nchi nzima,
Mambo ya WiFi toka state housesimu zote zimezimwa. wewe umepataje habari?
Miafrica! Mieusi shida tupuKumetokea mapigano makali nje ya kasri ya rais wa Sudan ya Kusini,
Mpaka sasa kuna sintofahau chanzo cha mapigano hayo,
Rais Salva na VP Riek wote wako ndani ya ikulu
Mawasiliano ya simu yamekatwa nchi nzima,
Mpigaji mkubwa wa mafuta ni mchinaSouth Sudan haikupata uhuru kwa manufaa ya weusi lakini kwa manufaa ya wamarekani ili wapate yale mafuta ,maana warabu wa kaskazini walikataa kuyatoa.Ndio wakashinikiza weusi wa kusini kwa kumtumia kibaraka John Garang ili wajitenge halafu mafuta wachimbe bure.Sasa wao wamerudi kupigana kati yao kuhusu nani apate angalau hata kidogo ,ila kuhusu nani atakaechimba hayo mafuta mkataba upo tangu mianka mingi sana .Poor africans na uchu wa madaraka
Kwa update za sasa wameshafanya press,Yani hawa wameshindikanika sijui tatizo imekuwa ni nini, lakini sijui kama machar atatoka salama humo ndani maana,
Mimi nashauri AU iwaondoe wote wawili madarakani halafu watafutwe na kusimikwa viongozi wapya kabisa wasiotokana na makabila ya hao jamaa.