Mapenzi ya ajabu kweli

Jan 17, 2017
86
95
Unakuta mtu anayekupenda we humpendi unapenda mwingine, na huyo hakupendi anapenda mwingine na yeye hapendwi anapendwa mwingine. Yaani utakuta ni foleni ya wanaopenda wasipopendwa mpaka basi. Wachache sana imetokea wanapendana bila kupenda kwingine esp wanaume.

Sasa inatokea unasubir sms kwa unayempenda sana ila hakupendi inapoingia unakuta sio yeye bali ni ya yule anayekupenda ila we humpendi. Unaona kama inaboa hivi wakati mwenzio na yeye anasubir majibu kama wewe unavyosubir kwa unayempenda. Yaani ni shiiiiida kweli, ivi ishawahi kuwatokea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…