Maoni ya Bashe alivyomtolea uvivu Kikwete juu ya usaliti kwa Lowasa yaibuliwa

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
10,381
18,030
Wakati Lowasa anarejea CCM kuna picha alipiga Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Lowasa kisha Kikwete akaweka bandiko Twitter (X).

Ndio Basha akamcharua kwa maneno makali bila kujali kuwa Mzee yule alishapata kuwa Rais

Ni wazi Bashe anamkubali sana Lowasa.

IMG_20240210_192446.jpg
 
Back
Top Bottom