Maoni Binafsi: Serikali ifute utaratibu wa kutangaza matokeo ya darasa la saba, yanaaribu dhima ufundishaji na ujifunzaji

Mtoto wa Jadu

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
401
937
Wakuu kwema?

Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini.

Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano:
Richard Zembwe Kiswahili-A, Maarifa-A, Hisabati-A, Uraia-B, English...

Pia shule hupewa daraja la jumla kulingana na matokeo. Madaraja hayo ni A-E, ambapo A ndio daraja bora, na E ni daraja hafifu.

Kwa ujumla, jambo hilo ni jema, lakini sasa limechukuliwa kama biashara kwa shule binafsi na hivyo, shule hizo (si zote) zimekuwa zikifanya kila mbinu ili mradi kupata daraja A

Wazazi (wengi) wanachukulia kama shule zenye daraja A ndio bora zaidi katika ufundishaji na ujifunzaji.

Jambo hili linafahamika na shule zote, na ndio maana wako tayari kufanya lolote maadamu wapate daraja A, ili waweze kupata (wateja) watoto wengi zaidi.

Sasa, ili kufanikisha daraja A linapatikana, shule inaweza ikatumia mbinu mbalimbali, mojawapo ni:-

kumaliza topics mapema.

Kulingana na muongozo, syllabus inabidi ikamilike mwezi wa nane.

Lakini, shule inaweza ikalazimisha syllabus ikamilike mwezi wa tatu. Ili wanafunzi wapate muda mwingi zaidi wa kufanya revisions na kujiandaa na mitihani.

Shule hufanikisha hilo kwa kuongeza vipindi vingi zaidi vya ziada.

Matokeo yake mtoto anakuwa overloaded, na hivyo hapati nafasi ya kujifunza na ku reflect yale aliyofundishwa.

Mwanzo mwisho mtoto anafundishwa tu, vipindi vinakuwa bandika bandua, mwanafunzi hapati muda wa kujifunza na kutumia akili yake kutatua changamoto kwenye jamii yake.

Lengo linakuwa ni mitihani tu, na akishafaulu mitihani basi, tuna assume mwanafunzi ana akili... Hii si sawa!

USHAURI KWA SERIKALI
Badilisheni namna ya kutangaza matokeo, kwa kuondoa mianya yote ya ushindani.

Badala ya kuonyesha Gredi, sasa muwe mnaonyesha kama mwanafunzi kafaulu (pass) au kafeli (fail) tu.

Mfano: Richard Zembwe: Kiswahili-pass, English-Pass, Hisabati-Pass, Uraia-fail, Average- pass

Pia sisitizeni shule kufuata muda uliowekwa wa kumaliza sylabus. Nakumbuka kuna kipindi ilianzishwa hii, but wadau wakaikataa.

Chondechonde serikali, fuatilieni hili swala, kwani wanafunzi wetu wanakuwa spoon feeding na matokeo yake huko mbeleni wanashindwa kutatua changamoto za maisha na hivyo kuishia kwenye umasikini wa fikra.

USHAURI KWA WAZAZI
Wazazi tafadhalini sana, achaneni na kudhani kwamba mwanao akipata A darasani ndio ana akili. Akili inapimwa kwa namna nyingi, mojawapo ni kutatua changamoto zitukumbazo.

Pia hata siku moja mzazi, usidhani mwanao hana akili kisa hajapata A,B au C

Yawezekana ni kweli darasani haendi vizuri, lakini haina maana hana akili... Jaribu kutafuta kipaji chake(kitu anachokiweza) na wekeza huko zaidi.

Ukimpeleka shule X kisa wanafunzi wanatoka na daraja A, atapata kweli hilo daraja A, lakini kwa fimbo nyingi, kukariri, kuibia majibu na hata kupewa majibu

USHAURI KWA SHULE BINAFSI
Ni kweli hiyo ni biashara na inapaswa kuonyesha ushindani ili kupata (wateja) wanafunzi wengi zaidi

Sasa, shindani kwenye mambo mengine, mfano huduma bora, miundombinu safi, mazingira bora ya kujisomea na extra carriculums.

Pia shindaneni kwa products mnazozitoa, mfano wanafunzi wahitimu waweze kuonyesha creativities na innovations za kutosha.

Hapo mtakuwa mmelisaidia sana taifa

MWISHO
Naomba mniwie radhi kwa andiko lefu na lenye makosa mengi sana ya kiuandishi. Lakini natumai nimeeleweka
 
Mtoto wako unabidi ujitahidi umsomeshe shule bora ili Apate hiyo A then baada ya Kuipata A ndo ataanza kumuibua yule mtu aliyepo ndani yake.

Mzazi Kama una hela usikubali mwanao asome shule za dumu fagio ambazo zinatumia lugha ya Kiswahili hapa utampoteza na atafika kileleni akiwa kachoka maana anasoma na watu ambao wapo broke na walimu wapo broke .

Akili huwa inahitaji kuboreshwa ikiwemo kusoma Katika MAZINGIRA mazuri Sana.
 
Shule bora unamaanisha English medium au International school??

Kama ni English medium fahamu kwamba shule hizo hazina tofauti na hizo za dumu na ufagio isipokuwa lugha ya kufundishia tu.

Kama nilivyoeleza, ni kwamba, katika kujifunza hakupaswi kuwa na ushindani, kwa sababu kila mtu ana perception yake kuhusiana na mantiki flani.

Hizo A hazipaswi kuwa ajenda kuu kwa elimu ya msingi
 
Hapana, tuseme ukweli tuu hizi shule binafsi ukiachana na kujua kiingereza hata masomo mengine wako vizuri sana. Angalia performance ya somo la hesabu kati ya hizi shule na za serikali, tofauti kabisa. Tukubali tuu kwamba hizi shule wako vizuri sana, kama una uwezo peleka mwanao huko. Hivi kuna viongozi wanapeleka watoto wao shule za kata?
 
Bwana Ikoko, nafahamu na kukubaliana na wewe kwamba wanafunzi wa English medium kiufaulu wa mitihani wanawazidi wale wa shule za serikali.

Unajua kwa nini?

Ni kwasababu wanafunzi wa english medium wanafundishwa jinsi ya kujibu mitihani zaidi... Na huo ni ukweli

Wanafunzi hao hawafundishwi ili wapate elimu inayiweza kuwasaidia wao zaidi katika maisha jinsi ya kukabiliana na changamoto..

Na maada hii ndio hasa lengo lake, kujadili hayo...

Kwamba kwenye kujifunza, hakupaswi kuwa na ushindani wa kupata daraja A tu, hiyo haina msaada kitaifa!!

Wanafunzi wanaishia tu kukaririshwa ili wajibu mtihani vyema, na offcoarse lengo hilo linatimia
 
Sijafahamu tatizo ktk jamii yetu la watu waliopata F na D kwenye mitihani yao kuendelea kuwa na wivu kwa wanafunzi ambao wapo vizuri kichwani wanaopata A. Eti kwa sababu nyepesi kuwa ukipata A haimanishi kuwa yupo vizuri kutatua changamoto na blaa blaa nyingine za kujiliwaza.
Huku pia ni kujifariji na kuendelea kutumia hizo akili za F F kujilinganisha na akili za AA.

Nasema na narudia huwezi kumfananisha mtu mwenye D na F darasani na mtu mwenye AA katika maisha ya kawaida au kutatua changamoto hakuna kitu kama hicho.

Watu wanashindwa kutofautisha kati ya bahati katika maisha anayoweza kupata mtu yoyote kwenye utafutaji bila kujali A na F kwenye mitihani na issue za kutatua changamoto za maisha za kiujumla kati ya aliyepata A na F.

Watu waliopata F na D waache kujiliwaza kujifananisha na waliopata A. Tuwahimize watoto wetu kusoma kwa bidii kupata A kwa kuwa huo ndio mwanzo wa mafanikio katika maisha yao.
 
Wakuu kwema?

Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini.

Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano:
Richard Zembwe Kiswahili-A, Maarifa-A, Hisabati-A, Uraia-B, English...

Pia shule hupewa daraja la jumla kulingana na matokeo. Madaraja hayo ni A-E, ambapo A ndio daraja bora, na E ni daraja hafifu.

Kwa ujumla, jambo hilo ni jema, lakini sasa limechukuliwa kama biashara kwa shule binafsi na hivyo, shule hizo (si zote) zimekuwa zikifanya kila mbinu ili mradi kupata daraja A

Wazazi (wengi) wanachukulia kama shule zenye daraja A ndio bora zaidi katika ufundishaji na ujifunzaji.

Jambo hili linafahamika na shule zote, na ndio maana wako tayari kufanya lolote maadamu wapate daraja A, ili waweze kupata (wateja) watoto wengi zaidi.

Sasa, ili kufanikisha daraja A linapatikana, shule inaweza ikatumia mbinu mbalimbali, mojawapo ni:-

kumaliza topics mapema.

Kulingana na muongozo, syllabus inabidi ikamilike mwezi wa nane.

Lakini, shule inaweza ikalazimisha syllabus ikamilike mwezi wa tatu. Ili wanafunzi wapate muda mwingi zaidi wa kufanya revisions na kujiandaa na mitihani.

Shule hufanikisha hilo kwa kuongeza vipindi vingi zaidi vya ziada.

Matokeo yake mtoto anakuwa overloaded, na hivyo hapati nafasi ya kujifunza na ku reflect yale aliyofundishwa.

Mwanzo mwisho mtoto anafundishwa tu, vipindi vinakuwa bandika bandua, mwanafunzi hapati muda wa kujifunza na kutumia akili yake kutatua changamoto kwenye jamii yake.

Lengo linakuwa ni mitihani tu, na akishafaulu mitihani basi, tuna assume mwanafunzi ana akili... Hii si sawa!

USHAURI KWA SERIKALI
Badilisheni namna ya kutangaza matokeo, kwa kuondoa mianya yote ya ushindani.

Badala ya kuonyesha Gredi, sasa muwe mnaonyesha kama mwanafunzi kafaulu (pass) au kafeli (fail) tu.

Mfano: Richard Zembwe: Kiswahili-pass, English-Pass, Hisabati-Pass, Uraia-fail, Average- pass

Pia sisitizeni shule kufuata muda uliowekwa wa kumaliza sylabus. Nakumbuka kuna kipindi ilianzishwa hii, but wadau wakaikataa.

Chondechonde serikali, fuatilieni hili swala, kwani wanafunzi wetu wanakuwa spoon feeding na matokeo yake huko mbeleni wanashindwa kutatua changamoto za maisha na hivyo kuishia kwenye umasikini wa fikra.

USHAURI KWA WAZAZI
Wazazi tafadhalini sana, achaneni na kudhani kwamba mwanao akipata A darasani ndio ana akili. Akili inapimwa kwa namna nyingi, mojawapo ni kutatua changamoto zitukumbazo.

Pia hata siku moja mzazi, usidhani mwanao hana akili kisa hajapata A,B au C

Yawezekana ni kweli darasani haendi vizuri, lakini haina maana hana akili... Jaribu kutafuta kipaji chake(kitu anachokiweza) na wekeza huko zaidi.

Ukimpeleka shule X kisa wanafunzi wanatoka na daraja A, atapata kweli hilo daraja A, lakini kwa fimbo nyingi, kukariri, kuibia majibu na hata kupewa majibu

USHAURI KWA SHULE BINAFSI
Ni kweli hiyo ni biashara na inapaswa kuonyesha ushindani ili kupata (wateja) wanafunzi wengi zaidi

Sasa, shindani kwenye mambo mengine, mfano huduma bora, miundombinu safi, mazingira bora ya kujisomea na extra carriculums.

Pia shindaneni kwa products mnazozitoa, mfano wanafunzi wahitimu waweze kuonyesha creativities na innovations za kutosha.

Hapo mtakuwa mmelisaidia sana taifa

MWISHO
Naomba mniwie radhi kwa andiko lefu na lenye makosa mengi sana ya kiuandishi. Lakini natumai nimeeleweka
Mwanzoni nami nilikuwa na mawazo kama wewe, ila baada ya kuchunguza nikagundua umaskini utakutesa wewe na watoto wako.

Kama pesa ipo hakuna haja ya kupeleke mtoto wako kwenye mateso ya shule z serikali ambako huko anakutna na walimu wamejichokea na maisha, wanafunzi wa uswazi wasio na vision, ambao akili imedumaa kutokana na kukosa malezi ya wazazi.

Unakuta darasani watoto wamerundikana darasani kama viazi mbatata.

Kama hela imesimsma mpeleke mwanao private akasome katika mazingira bora.
Kama pesa hakuna, we pambana na hali huko kwenye fagio na vidumu.
 
Wakuu kwema?

Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini.

Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano:
Richard Zembwe Kiswahili-A, Maarifa-A, Hisabati-A, Uraia-B, English...

Pia shule hupewa daraja la jumla kulingana na matokeo. Madaraja hayo ni A-E, ambapo A ndio daraja bora, na E ni daraja hafifu.

Kwa ujumla, jambo hilo ni jema, lakini sasa limechukuliwa kama biashara kwa shule binafsi na hivyo, shule hizo (si zote) zimekuwa zikifanya kila mbinu ili mradi kupata daraja A

Wazazi (wengi) wanachukulia kama shule zenye daraja A ndio bora zaidi katika ufundishaji na ujifunzaji.

Jambo hili linafahamika na shule zote, na ndio maana wako tayari kufanya lolote maadamu wapate daraja A, ili waweze kupata (wateja) watoto wengi zaidi.

Sasa, ili kufanikisha daraja A linapatikana, shule inaweza ikatumia mbinu mbalimbali, mojawapo ni:-

kumaliza topics mapema.

Kulingana na muongozo, syllabus inabidi ikamilike mwezi wa nane.

Lakini, shule inaweza ikalazimisha syllabus ikamilike mwezi wa tatu. Ili wanafunzi wapate muda mwingi zaidi wa kufanya revisions na kujiandaa na mitihani.

Shule hufanikisha hilo kwa kuongeza vipindi vingi zaidi vya ziada.

Matokeo yake mtoto anakuwa overloaded, na hivyo hapati nafasi ya kujifunza na ku reflect yale aliyofundishwa.

Mwanzo mwisho mtoto anafundishwa tu, vipindi vinakuwa bandika bandua, mwanafunzi hapati muda wa kujifunza na kutumia akili yake kutatua changamoto kwenye jamii yake.

Lengo linakuwa ni mitihani tu, na akishafaulu mitihani basi, tuna assume mwanafunzi ana akili... Hii si sawa!

USHAURI KWA SERIKALI
Badilisheni namna ya kutangaza matokeo, kwa kuondoa mianya yote ya ushindani.

Badala ya kuonyesha Gredi, sasa muwe mnaonyesha kama mwanafunzi kafaulu (pass) au kafeli (fail) tu.

Mfano: Richard Zembwe: Kiswahili-pass, English-Pass, Hisabati-Pass, Uraia-fail, Average- pass

Pia sisitizeni shule kufuata muda uliowekwa wa kumaliza sylabus. Nakumbuka kuna kipindi ilianzishwa hii, but wadau wakaikataa.

Chondechonde serikali, fuatilieni hili swala, kwani wanafunzi wetu wanakuwa spoon feeding na matokeo yake huko mbeleni wanashindwa kutatua changamoto za maisha na hivyo kuishia kwenye umasikini wa fikra.

USHAURI KWA WAZAZI
Wazazi tafadhalini sana, achaneni na kudhani kwamba mwanao akipata A darasani ndio ana akili. Akili inapimwa kwa namna nyingi, mojawapo ni kutatua changamoto zitukumbazo.

Pia hata siku moja mzazi, usidhani mwanao hana akili kisa hajapata A,B au C

Yawezekana ni kweli darasani haendi vizuri, lakini haina maana hana akili... Jaribu kutafuta kipaji chake(kitu anachokiweza) na wekeza huko zaidi.

Ukimpeleka shule X kisa wanafunzi wanatoka na daraja A, atapata kweli hilo daraja A, lakini kwa fimbo nyingi, kukariri, kuibia majibu na hata kupewa majibu

USHAURI KWA SHULE BINAFSI
Ni kweli hiyo ni biashara na inapaswa kuonyesha ushindani ili kupata (wateja) wanafunzi wengi zaidi

Sasa, shindani kwenye mambo mengine, mfano huduma bora, miundombinu safi, mazingira bora ya kujisomea na extra carriculums.

Pia shindaneni kwa products mnazozitoa, mfano wanafunzi wahitimu waweze kuonyesha creativities na innovations za kutosha.

Hapo mtakuwa mmelisaidia sana taifa

MWISHO
Naomba mniwie radhi kwa andiko lefu na lenye makosa mengi sana ya kiuandishi. Lakini natumai nimeeleweka
Mawazo ya kipuuzi kweli ulimwengu wa ushindani huu ama hujui!
 
Mada ni pana, ina ukweli na uchungu ndani yake.

Baadhi yetu tukiendelea kuwa hai miaka 20 ijayo tutashuhudia hawa waliomaliza darasa la 7 mwaka huu.

Niseme hivi, kuna kitu kinaitwa mfumo, na huu au hii mifumo wako watu nyuma ya pazia wanaisimamia itekelezeke kwenye jamii kwa manufaa yao binafsi.

Suluhisho ni kufanya majaribio, mimi natamani kuja kufanya hili....

Nianzishe shule kuanzia ya awali hadi ya msingi kwa mtaala wa serikali ya Jamuhuri.

Ila ntaweka masimo ya kiada ambayo yatakuwa na mrengo wa kijana au mtoto akimaliza elimu ya awali awe anajitambua kutokana na umri wake. Na atayemaliza elimu ya msingi aqe amejitambua kutokana na umri wake.

Jamii inalalamika mitandaoni sana ila wazazi haohao wamebanwa na mifumo...

Watoto wasipelekwe boarding school, ila mzazi anafukuzia safari za kikazi ili apate perdiem kujazia kipato.
Watoto wanalelewa na wadada wa kazi au extended family... kuna madhara yake pia.

Wafanyabiashara waliojiajiri pia hawajaachwa salama, kuna namna hawapati kabisa muda na watoto wao.

Wazazi waaminifu watapita hapa waseme ukweli maana tunaona mitaani, baba ana gari mama ana gari mtoto anaenda shule na school bus na anasindikizwa kituoni na dada wa kazi. Na hapo wazazi wote wamejiajiri.....

Wale ambao ni wafanyakazi sijui ndo kuwahi kazini ama ila mifumo iliyowekwa ikirekebishwa, malalamiko mengi yataisha.

Juzi tuu hapa kuna wazazi walilalama kutopeleka watoto pre form 1, ila saa hizi tunavyoongea asilimia 80 watoto wako pre form 1 iwe ya day au boarding.

Mifumo mifumo mifumo....

Asiye na mwana, aeleke jiwe....

Natafakari aliyetunga huu msemo alimaanisha nini...🤔

Alamsiki.
 
Angalia kipindi Cha watoto Shangwe utajua umuhimu wa kusomesha private schools
Matokeo yanaonesha English ndio SoMo watoto wamefail zaidi na hata wale waiofaulu nadhani ni WA private
Hatuwezi kujenga elimu kwa "kufuta"Kila kile kinachoonesha udhaifu wetu Bali tufanyie kazi changamoto
 
Shule bora unamaanisha English medium au International school??

Kama ni English medium fahamu kwamba shule hizo hazina tofauti na hizo za dumu na ufagio isipokuwa lugha ya kufundishia tu.

Kama nilivyoeleza, ni kwamba, katika kujifunza hakupaswi kuwa na ushindani, kwa sababu kila mtu ana perception yake kuhusiana na mantiki flani.

Hizo A hazipaswi kuwa ajenda kuu kwa elimu ya msingi
Dumu na fagio huwezi kuifananisha na english medium yoyote ile,yan shule mwl aingie darasani au asiingie mshahara uko pale pale na next year uhakika wanafunzi watakuja tu,english medium wanapambana mno kumuweka mtoto sawa ili kuwavutia wazazi wengine wawapeleke watoto wao kwenye hiyo shule
 
Mhhh ni kama sijakuelewa Mkuu...inakuja inakataa inakuja inakataa...
We Mkuu ikiwa umesoma dumu fagio kiingereza kinasumbua Sana Kuna baadhi ya mambo utabidi uendelee kusimuliwa tu.

Ukitoa hayo masomo yote somo la kiingereza Lina tija Sana ili kukufanya kuwa mtu bora kichwani.
 
Wakuu kwema?

Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini.

Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano:
Richard Zembwe Kiswahili-A, Maarifa-A, Hisabati-A, Uraia-B, English...

Pia shule hupewa daraja la jumla kulingana na matokeo. Madaraja hayo ni A-E, ambapo A ndio daraja bora, na E ni daraja hafifu.

Kwa ujumla, jambo hilo ni jema, lakini sasa limechukuliwa kama biashara kwa shule binafsi na hivyo, shule hizo (si zote) zimekuwa zikifanya kila mbinu ili mradi kupata daraja A

Wazazi (wengi) wanachukulia kama shule zenye daraja A ndio bora zaidi katika ufundishaji na ujifunzaji.

Jambo hili linafahamika na shule zote, na ndio maana wako tayari kufanya lolote maadamu wapate daraja A, ili waweze kupata (wateja) watoto wengi zaidi.

Sasa, ili kufanikisha daraja A linapatikana, shule inaweza ikatumia mbinu mbalimbali, mojawapo ni:-

kumaliza topics mapema.

Kulingana na muongozo, syllabus inabidi ikamilike mwezi wa nane.

Lakini, shule inaweza ikalazimisha syllabus ikamilike mwezi wa tatu. Ili wanafunzi wapate muda mwingi zaidi wa kufanya revisions na kujiandaa na mitihani.

Shule hufanikisha hilo kwa kuongeza vipindi vingi zaidi vya ziada.

Matokeo yake mtoto anakuwa overloaded, na hivyo hapati nafasi ya kujifunza na ku reflect yale aliyofundishwa.

Mwanzo mwisho mtoto anafundishwa tu, vipindi vinakuwa bandika bandua, mwanafunzi hapati muda wa kujifunza na kutumia akili yake kutatua changamoto kwenye jamii yake.

Lengo linakuwa ni mitihani tu, na akishafaulu mitihani basi, tuna assume mwanafunzi ana akili... Hii si sawa!

USHAURI KWA SERIKALI
Badilisheni namna ya kutangaza matokeo, kwa kuondoa mianya yote ya ushindani.

Badala ya kuonyesha Gredi, sasa muwe mnaonyesha kama mwanafunzi kafaulu (pass) au kafeli (fail) tu.

Mfano: Richard Zembwe: Kiswahili-pass, English-Pass, Hisabati-Pass, Uraia-fail, Average- pass

Pia sisitizeni shule kufuata muda uliowekwa wa kumaliza sylabus. Nakumbuka kuna kipindi ilianzishwa hii, but wadau wakaikataa.

Chondechonde serikali, fuatilieni hili swala, kwani wanafunzi wetu wanakuwa spoon feeding na matokeo yake huko mbeleni wanashindwa kutatua changamoto za maisha na hivyo kuishia kwenye umasikini wa fikra.

USHAURI KWA WAZAZI
Wazazi tafadhalini sana, achaneni na kudhani kwamba mwanao akipata A darasani ndio ana akili. Akili inapimwa kwa namna nyingi, mojawapo ni kutatua changamoto zitukumbazo.

Pia hata siku moja mzazi, usidhani mwanao hana akili kisa hajapata A,B au C

Yawezekana ni kweli darasani haendi vizuri, lakini haina maana hana akili... Jaribu kutafuta kipaji chake(kitu anachokiweza) na wekeza huko zaidi.

Ukimpeleka shule X kisa wanafunzi wanatoka na daraja A, atapata kweli hilo daraja A, lakini kwa fimbo nyingi, kukariri, kuibia majibu na hata kupewa majibu

USHAURI KWA SHULE BINAFSI
Ni kweli hiyo ni biashara na inapaswa kuonyesha ushindani ili kupata (wateja) wanafunzi wengi zaidi

Sasa, shindani kwenye mambo mengine, mfano huduma bora, miundombinu safi, mazingira bora ya kujisomea na extra carriculums.

Pia shindaneni kwa products mnazozitoa, mfano wanafunzi wahitimu waweze kuonyesha creativities na innovations za kutosha.

Hapo mtakuwa mmelisaidia sana taifa

MWISHO
Naomba mniwie radhi kwa andiko lefu na lenye makosa mengi sana ya kiuandishi. Lakini natumai nimeeleweka
Mkuu maoni yako yalishazingatiwa kwenye sera mpya ya elimu na mtaala mpya unaonza mwakani 2024, ambapo mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ya sasa utafutwa! Tafadhali tafuta na rejea sera na mtaala mpya kwa taarifa zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Sijafahamu tatizo ktk jamii yetu la watu waliopata F na D kwenye mitihani yao kuendelea kuwa na wivu kwa wanafunzi ambao wapo vizuri kichwani wanaopata A. Eti kwa sababu nyepesi kuwa ukipata A haimanishi kuwa yupo vizuri kutatua changamoto na blaa blaa nyingine za kujiliwaza.
Huku pia ni kujifariji na kuendelea kutumia hizo akili za F F kujilinganisha na akili za AA.

Nasema na narudia huwezi kumfananisha mtu mwenye D na F darasani na mtu mwenye AA katika maisha ya kawaida au kutatua changamoto hakuna kitu kama hicho.

Watu wanashindwa kutofautisha kati ya bahati katika maisha anayoweza kupata mtu yoyote kwenye utafutaji bila kujali A na F kwenye mitihani na issue za kutatua changamoto za maisha za kiujumla kati ya aliyepata A na F.

Watu waliopata F na D waache kujiliwaza kujifananisha na waliopata A. Tuwahimize watoto wetu kusoma kwa bidii kupata A kwa kuwa huo ndio mwanzo wa mafanikio katika maisha yao.
👍👌👏🙏🎁
 
Wakuu kwema?

Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini.

Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano:
Richard Zembwe Kiswahili-A, Maarifa-A, Hisabati-A, Uraia-B, English...

Pia shule hupewa daraja la jumla kulingana na matokeo. Madaraja hayo ni A-E, ambapo A ndio daraja bora, na E ni daraja hafifu.

Kwa ujumla, jambo hilo ni jema, lakini sasa limechukuliwa kama biashara kwa shule binafsi na hivyo, shule hizo (si zote) zimekuwa zikifanya kila mbinu ili mradi kupata daraja A

Wazazi (wengi) wanachukulia kama shule zenye daraja A ndio bora zaidi katika ufundishaji na ujifunzaji.

Jambo hili linafahamika na shule zote, na ndio maana wako tayari kufanya lolote maadamu wapate daraja A, ili waweze kupata (wateja) watoto wengi zaidi.

Sasa, ili kufanikisha daraja A linapatikana, shule inaweza ikatumia mbinu mbalimbali, mojawapo ni:-

kumaliza topics mapema.

Kulingana na muongozo, syllabus inabidi ikamilike mwezi wa nane.

Lakini, shule inaweza ikalazimisha syllabus ikamilike mwezi wa tatu. Ili wanafunzi wapate muda mwingi zaidi wa kufanya revisions na kujiandaa na mitihani.

Shule hufanikisha hilo kwa kuongeza vipindi vingi zaidi vya ziada.

Matokeo yake mtoto anakuwa overloaded, na hivyo hapati nafasi ya kujifunza na ku reflect yale aliyofundishwa.

Mwanzo mwisho mtoto anafundishwa tu, vipindi vinakuwa bandika bandua, mwanafunzi hapati muda wa kujifunza na kutumia akili yake kutatua changamoto kwenye jamii yake.

Lengo linakuwa ni mitihani tu, na akishafaulu mitihani basi, tuna assume mwanafunzi ana akili... Hii si sawa!

USHAURI KWA SERIKALI
Badilisheni namna ya kutangaza matokeo, kwa kuondoa mianya yote ya ushindani.

Badala ya kuonyesha Gredi, sasa muwe mnaonyesha kama mwanafunzi kafaulu (pass) au kafeli (fail) tu.

Mfano: Richard Zembwe: Kiswahili-pass, English-Pass, Hisabati-Pass, Uraia-fail, Average- pass

Pia sisitizeni shule kufuata muda uliowekwa wa kumaliza sylabus. Nakumbuka kuna kipindi ilianzishwa hii, but wadau wakaikataa.

Chondechonde serikali, fuatilieni hili swala, kwani wanafunzi wetu wanakuwa spoon feeding na matokeo yake huko mbeleni wanashindwa kutatua changamoto za maisha na hivyo kuishia kwenye umasikini wa fikra.

USHAURI KWA WAZAZI
Wazazi tafadhalini sana, achaneni na kudhani kwamba mwanao akipata A darasani ndio ana akili. Akili inapimwa kwa namna nyingi, mojawapo ni kutatua changamoto zitukumbazo.

Pia hata siku moja mzazi, usidhani mwanao hana akili kisa hajapata A,B au C

Yawezekana ni kweli darasani haendi vizuri, lakini haina maana hana akili... Jaribu kutafuta kipaji chake(kitu anachokiweza) na wekeza huko zaidi.

Ukimpeleka shule X kisa wanafunzi wanatoka na daraja A, atapata kweli hilo daraja A, lakini kwa fimbo nyingi, kukariri, kuibia majibu na hata kupewa majibu

USHAURI KWA SHULE BINAFSI
Ni kweli hiyo ni biashara na inapaswa kuonyesha ushindani ili kupata (wateja) wanafunzi wengi zaidi

Sasa, shindani kwenye mambo mengine, mfano huduma bora, miundombinu safi, mazingira bora ya kujisomea na extra carriculums.

Pia shindaneni kwa products mnazozitoa, mfano wanafunzi wahitimu waweze kuonyesha creativities na innovations za kutosha.

Hapo mtakuwa mmelisaidia sana taifa

MWISHO
Naomba mniwie radhi kwa andiko lefu na lenye makosa mengi sana ya kiuandishi. Lakini natumai nimeeleweka
Hiyo siyo Dawa!

Iwe iwavyo Shule Binafsi zimewekeza kwa Waalimu!

Shule za Serikali ziongeze Motisha kwa Waalimu wake!

Ushindani ukikosekana katika Hii Sekta ya Elimu ndo kabisa Elimu inakufa!

Sekta Binafsi inawekeza zaidi.

Serikali nayo ifanye kazi yake!
 
Back
Top Bottom