Manyoni Singida-waumini wazuia maiti isizikwe ili waiombee ifufuke

Mbassa jr

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,234
3,209
Tukio limetokea kwenye kijiji cha londoni wilayani manyoni mkoani singida ambapo waumini wa kanisa moja kijijini hapo walipoamua kusitisha maiti kuzikwa na kuamua kupiga maombi ili Maiti huyo aweze kufufuka.
 
Si Wamlete kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Baba Askof Josephat Gwajima?
 
Naomba unijibu haya maswali ili nipate picha kamili;
1.Waliokwenda makuburini ndo haohao waliobadili maamuzi ya kusitisha mazishi ili waiombee hiyo maiti?
2.Vipi maiti imefufuka?
3.kama haijafufuka, bado wako wanaendelea na maombi ?
 
Reactions: y-n
Si Wamlete kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Baba Askof Josephat Gwajima?
Hizo ndio akili mbovu na ujinga uliopindukia. Akili za wakiristo hizooo. Na mijitu inaamini kabisa eti gwajima dude dubwana eti nae ana nguvu za maombi mtu anajiita dude.
 
Hizo ndio akili mbovu na ujinga uliopindukia. Akili za wakiristo hizooo. Na mijitu inaamini kabisa eti gwajima dude dubwana eti nae ana nguvu za maombi mtu anajiita dude.
Mkuu matusi haya kwa wakristo wote si vzr naona unajitafutia ban kwa hiyo kashfa uliotoa. Si busara mods waangalie hii post.
 
Mkuu matusi haya kwa wakristo wote si vzr naona unajitafutia ban kwa hiyo kashfa uliotoa. Si busara mods waangalie hii post.
Makafiri kwa unafki mko vizuri.

Makafiri wala nguruwe wenzako wakianzisha mada za kuutukana uislamu na waislamu wala hujitokezi kukemea.

Jamaa hapo anasema ukweli akili zenu finyu umekasirika.

Acha unafki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…