hao wanatajwa sana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwaKitokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.
Note: Magu anza na hawa waliotajwa maana kama Iddy Azan hii ni mara nyingine anatajwa.
[/IMG]
mjinga wewe atoe ushahidi afe??hapa ndio wakati mzuri wa serikali kufanya uchunguzi wa kina.wapi AMINA CHIFUPA??kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu
Kiujumla tu mkuu mimi sijafanikiwa kufahamu huyu Mange ndio nani, mwanamziki, mcheza filamu, mwanasiasa au tycoon flani?who is she to say who is who?
akili zako fupi wew..sas unapiga kelele kwa kuambiwa bila uhakika huo ndo wivu wa kike unashabikia kitu hujui lolote..mjinga wewe atoe ushahidi afe??hapa ndio wakati mzuri wa serikali kufanya uchunguzi wa kina.wapi AMINA CHIFUPA??
Nyie watu wa kariakoo asili ndo mlianza kutuletea hayo makituHuyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.
Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.
Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubayaKiujumla tu mkuu mimi sijafanikiwa kufahamu huyu Mange ndio nani, mwanamziki, mcheza filamu, mwanasiasa au tycoon flani?
Honestly, I dont know this person.