Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana.
Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na kusemwa vibaya kwenye interview. Hawakuogopa labda sijui akina Martial, Bruno wataiga hivyo walazimishe tu kuwa na Ronaldo au Ronaldo labda atahamia Man city. Vyote hivyo hawakujali.
Fei toto kaiongelea vibaya yanga, kasema hataki kuichezea yanga, Sasa kwa nini yanga wasimuachie Fei toto kwa makubaliano? Hata kama mchezaji hayupo kambini lakini mkimtumia ujumbe wa kutaka kuvunja mkataba kwa makubaliano hawezi kukataa.
Mchezaji alieisema vibaya klabu kuna faida gani akirudi kambini? Kutaka kumkomoa au kutarajia fidia kutoka kwa mchezaji ni kutojitambua kwa klabu.