Manchester United ni timu bora duniani kuliko Real Madrid

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
301
1,028
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid

Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid

Pia kwenye ishu ya management United wako vizuri kuliko Real Madrid

Chukua hii na ukae kitaalamu
 
Hii kauli sidhani kama imetolewa na kizazi kilichofaulu maths. Read & vote here ili tuache kuandika ilimradi

Mtaalamu unataka kuwa mganga wa kienyeji nini🤣😂 kwamba man u wana wachezaji bora zaidi ya carvajal, rudiger, camavinga, kroos, modric, Bellingham, velverde, vini, kisha 10hag ni bora zaidi ya don carlo.

Kasikilize ngoma ya mista ebo, sitaki tena pombe.
 
Nitajie mchezaji wa Madrid anayemzidi Bruno Fernandes
 
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid

Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid

Pia kwenye ishu ya management United wako vizuri kuliko Real Madrid

Chukua hii na ukae kitaalamu
utoto raha sana...chochote kinachowajia kichwani wanasemaga tu na huna cha kumwambia coz ni watoto
 
Back
Top Bottom