Mambo yenyewe ndo haya!

Sasa UncleBen siku ndo umemkuta utafanya nini?
Yaani mwanamke mzima asijue kujisugua na dodoki na mawe kibao atakate akimbilie ,kuoshwa miguu na mwanaume ??

Nikimkuta sijui nitafanyaje labda nitapiga magoti kumwomba Mungu aniondelee stregth maana naweza kufanya kioja ,sipendi mtu anaye circumvent my authority
 
Kwa hawa wanawake wa siku hizi wanaopenda starehe. Kila kitu mpaka afinyiwe kuna tabu. Hapo wenyewe wanaona kawaida sana.

Hata mimi sitaruhusu mwanamke wangu afanye hii kitu kabisa. Acha nionekane mshamba tu
 
Kinachoumiza kuhusu hii picha utakuta mumewe au boyfriend alizungushwa mwezi mzima kuyashika tu hayo mapaja

huku kijana wa saloon anayachezea wee na kulipwa hela ....kirahisi tu
Hahahaaa mkuu fursa ni nyepesi kwa wengine na ngumu kwa wengine
 
Back
Top Bottom