Mambo machache Sukuma Gang bado wanayahitaji yafanyiwe kazi

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
1,284
2,817
Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama .

1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi

2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho waliyasikia kwa Mobutu sese seko ifutike

3.Wa huko Victoria wanaomba daraja la Busisi na miradi mingine iendelee kukamilisha mbali na kuwa katika uelekeo mzuri.

4.Usisahaulike demokrasia sio kipaumbele cha Taifa hili hasa baada ya Uchaguzi ni kazi tu

5.Wanaomba pia wasaidiwe katiba itakayonyoosha wezi na mafisadi mpaka wakimbie nchi

Ni hayo tu maombi niliyapata nikiwa safarini kutoka Geita,Mwanza ,Shinyanga,Tabora,Katavi , Sumbawanga,Mbeya ,Iringa,Singida ,Dodoma kwa muda wa Siku Tatu .

Kwa yeyote S gang mwenye ombi late ataweka hapo chini

Mimi ni Mjumbe tu
 
Naona wanaanza kurudishwa maana walivurumushwa kweli mwanzo. Wamshukuru makonda maana ndie mastermind kwa sasa.
 
Wasukuma ni wanafiki sana hawana ushirikiano sawa na waarabu.

Nyumbu mwenzao anauawa wao wanamwangalia tu!
 
Back
Top Bottom