................. sijui ni kweli ila sijawahi kuwadanganya ndio nimeanza leo Ndugu zangu.................
Hahaha kwanin mkuuMkuu nahisi utakuwa na vyerehani vinne KIWANDA CHAKO KINAITWAJE VILE.
nimezaliwa 2009 sijui nitakuwa na umri ganiMbona mwandiko mbaya hivi
Una umri gani?
uyu mama nahisi alishawahi kuwa mwanajeshi wa anga analenga kila pandeKwni mkuu mnaishi nyumba moja na hyo demu?kwn UKIAMUA kupiga show za KIBABE NA huyo BINTI JUU KWA JUU....mama yake atajuwa?au una share CHUMBA NA WADOGO ZAKO?
namba ya mama mkwe ni +1485236591 Yuko kwa Donald Trumph ukimpata unijulishe mkuuHahahaaa. Polee kjnaaaa. Mm ningekuaa ni mamakee ningekukata kichwa kbsaaa. Maana at a ada ujawah changiaa mama Wa watuu ana jibnaaa ww unaenda kulaa sio. HV kwel najuaa garama ya kusomesha kwel. HV angekua bnt akoo afu unagaramikaa then vidume uchwara kama w vnamrukiaa... Matokeo yke aje na ujauztoo. Bahat mbya ukute bnt ni masomo ya snaaa au chuo cha ualim au chuo cuchtee... Then unatka kuchezeaaa akpta mimba huna at a nyumbaa ya kumuekaa ukute unaishi kwenu... Tens ushtakiwe kabisaaa
Ebu namba za mamake nione chakumshaur manaa SSA tabia zenu vianaa mbov snaa. So usubr amalizee.
Sawa mkuuTest zali lako..... Huwezi jua
"Asiye sikia la mkuu huvunjika guu"sijui ni kweli ila sijawahi kuwadanganya ndio nimeanza leo Ndugu zangu.