Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mama Salma ni zao la Jamii yetu ilivyo!Hajaongea lolote kuhusu escrow wakati mumewe wanachota kodi za watanzania kwenye mifuko ya sandarusi? Maajabu hayataisha nchi hii
Huenda ni kweli!Waziri Mkuu mchapa kazi mzalendo hana mjigambo wala kejeli next big boss
Huenda ni kweli!
Naomba ufafanuzi kidogo juu ya hii misamiati,Mchapa kazi na Mzalendo.Tafwadhali.
Vp hajagusia ule wa lugumi?Aliuliza kuhusu Bodi ya Korosho inadaiwa kufanya korosho ufisadi wa bilioni 30 ila serikali haijatoa tamko, serikali inasemaje kuhusu ubadhirifu huo hasa kwa mikoa ya Mtwara na Lindi
Waziri mkuu amasema serikali itavifanyia ukaguzi wa kina kwa vyama vyote nchi nzima kutoaka na vyama hivyo kuwa na hali mbaya na hasara iliyptokea ni bilioni 6 na sio 30 baada ya kamati kuchunguza, na hasara hiyo haikusababishwa na bodi ila imesababishwa na vyama vya ushirika
Vp hajagusia ule wa lugumi?
People with guthahaha unafki hautaisha kwakweli ...na kontena zaidi ya 30 alizopitisha kiujanja janja..anaongelea ufisadi na yeye?