Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,659
- 729,769
Una homa wewe.... ebu nenda kamuuguze mamako.... unafikiri babako angeipata iyo nyumba bila kuwa na mke wake ambaye ndo mama yako? Nafikiri wewe bado hujaolewa ungekuwa umeolewa ungejua mahusiano yaliyopo baina ya mke na mume hata kama mke ni goli kipa
Acha kuwa na akili tegemezi,kama baba yako alitafuta,mmiliki mwenza alikuwa mama yako,na wewe ulipaswa utafute kama unanona ni lazima kuachiwa cha cha baba yako,ili nawe uwaachie wanao.
Nakushauri utafute chako kwa ajili ya kulelea familia yako,mara utakapomaliza majukumu yako ya msingi kwa wanao,ambayo ni kuwapa ELIMU BORA,anza kuuza nawe uwe umeishi,na wao watatafuta vyao.
Mdogomdogo wanajamvi kumbukeni kaomba ushauriKwahyo unaona una haki kwwnye nyumba aliyotolea jasho mama yako na mume wake
Shubaaamit jenga yako ulete hayo mamlaka
Runs nyu mban uguza mama yako
Hujajiuliza why ameuza nyumba?
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app