Mama Magufuli aaga rasmi shule ya Mbuyuni

Hicho nilichoona ni kweli au ni hii miwani, watoto wa shule ya msingi wana piga picha kwa simu?

Hongera mama mwenzetu, katulie umtunze mheshimiwa.
ndo watoto wetu hawa; tunawaharibu sisi wenyewe. Sasa mtoto na simu shuleni ya nini?
Wacha mama akampikie mzee!
 
Siyo tu kufundisha, bali pia amesoma katika shule hiyo kuanzia darasa la kwanza hadi la saba. Ana historia ndefu katika shule hiyo, maana pia kafundisha hapo kwa miaka 17!...

Nadhani kupitia u-first lady wake shule hii inahitaji ulezi wake na hili likimaanisha sapoti ya kutosha ya kufanya lobby kwa wadau wa maendelesho ili waweze kuchangia kwa hali na mali iwe juu kimasoma!.
 
Hiyo Shule iko juu tayari na haihitaji michango mingine kuna Shule nyingi huko uswazi kama Mzimuni , Mburahati n.k ambazo zinahitaji msaada zaidi!
 
Mh! Hao watoto wa primary kuwa na smart phone shuleni ni mushkeli! Halafu baadae tuulizane waliharibika lini!

Hao watoto walio na smartphone ni watoto wa Kiislamu(ANGALIA MAVAZI YAO).Waislamu ni wakali kwa kushinikiza mambo.Angalia hata walivyoshinikiza hiyo uniform ya shule wavae kihijabu tofauti na wanafunzi wengine.Watakuwa wameshinikiza kuwa watoto wao lazima wawe na smartphone shuleni.Mwalimu atafanyeje? Na viboko vilishafutwa mashuleni?

Shuleni wakristo wengi hawataki watoto wao waende shule na simu ili wa concentrate kwenye masomo.Hilo la simu ni jipu ambalo waislamu wenyewe ndio wanatakiwa walitumbue.
 
jamani, jamani, jamani, hii taarifa mjitahidi mama lowaxa asiipate, akiipata atazimia.
 
Hpo ndo naanza kuamini ile tafiti ya shule za msingi kuongoza kwa ngono
sioni shida hao Watoto kuwa na simu. Sisi watanzania bana yani mwanafunzi eti hadi afaulu lazima asome kwa shida mazingira magu yani ni kama sifa flan hiv. Utakuta wengine wanajisifu nilisoma hadi nikakonda na nikafaulu. Ndio maana hamna innovation. Kwa wenzetu wanafunz wanasoma kwa anasa na bado wanaelimika
 
Samahani- ndio kwanza naiona hii translation....Tusaidiane fasili muafaka ya FIRST LADY....je aitwe "Mama Namba Moja"....au "Mama wa Kwanza" ..... Ni ufahamisho tu!
 
Hao watoto walio na smartphone ni watoto wa Kiislamu(ANGALIA MAVAZI YAO).Waislamu ni wakali kwa kushinikiza mambo.Angalia hata walivyoshinikiza hiyo uniform ya shule wavae kihijabu tofauti na wanafunzi wengine.Watakuwa wameshinikiza kuwa watoto wao lazima wawe na smartphone shuleni.Mwalimu atafanyeje? Na viboko vilishafutwa mashuleni?

Shuleni wakristo wengi hawataki watoto wao waende shule na simu ili wa concentrate kwenye masomo.Hilo la simu ni jipu ambalo waislamu wenyewe ndio wanatakiwa walitumbue.
those Muslim gelz are very smart. Reckless hatred!
 
Umemaliza mkuu,mungu akuondolee chuki dhidi ya uislam na waislamu.
 
sioni shida hao Watoto kuwa na simu. Sisi watanzania bana yani mwanafunzi eti hadi afaulu lazima asome kwa shida mazingira magu yani ni kama sifa flan hiv. Utakuta wengine wanajisifu nilisoma hadi nikakonda na nikafaulu. Ndio maana hamna innovation. Kwa wenzetu wanafunz wanasoma kwa anasa na bado wanaelimika
Kumbe unaongelea wenzetu!!! try to compare apples with apples and not apples with mangoes
 
Nadhani kupitia u-first lady wake shule hii inahitaji ulezi wake na hili likimaanisha sapoti ya kutosha ya kufanya lobby kwa wadau wa maendelesho ili waweze kuchangia kwa hali na mali iwe juu kimasoma!.

Angalia hayo madawati msaada kutoka wapi vile? Sijui Kenya Commerce Bank?
 
Kuna jambo unapaswa ujifunze siku zote nalo ni kwamba watu Intelligent huwa wanafanya intelligent choices!
gentamycine bana nishakusoma na najua unafaham sisi haziivi. Pia rais wa mioyo ya watanzania made an intelligent choice the same as the sitting prez
 
LEO Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli amewasili katika shule ya msingi Mbuyuni, Dar kwa ajili ya kuagana na walimu wenzake pamoja na wanafunzi aliokuwa akiwafundisha

Shule ya Msingi Mbuyuni ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma kuanzia darasa la kwanza na baadaye mwaka 1995 kurudi tena kufundisha hapohapo kwa miaka 17 hadi mumewe Rais Magufuli alipochaguliwa kuwa Rais wa Tanzania.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya saa toka kwa mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza risala toka kwa mwanafunzi wa shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi toka kwa Afisa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni katika Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza maelezo ya utangulizi ya mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
Chanzo : Swahiba Media
 
Nadhani kupitia u-first lady wake shule hii inahitaji ulezi wake na hili likimaanisha sapoti ya kutosha ya kufanya lobby kwa wadau wa maendelesho ili waweze kuchangia kwa hali na mali iwe juu kimasoma!.

Kwa hiyo unataka kusema mama Kikwete alilisahau Hilo?
Maana naye alitoka Shule hiyohiyo.
 
Hyo pc ya wtt kuwa na smartphone wtt wa primary? Asee wametisha, ila kwa mtazamo wangu hyo ni dalili mbaya ya malezi, maana itapelekea mtt kuwa buzy kwnye mtando na kujifunza yasiyo zaidi ya masomo..
 
Haya wale UKAWA mnaodharau ualimu semeni sasa

1.Nyerere na Maria NYERERE wote walikuwa walimu wakaingia IKulu
2.Mwinyi alikuwa mwalimu na mkuu wa chuo cha ualimu Zanzibar na mkewe alikuwa mwalimu chuo cha Lugha ZA kigeni Zanzibar wakaingia ikulu
3.Kikwete alikuwa mwalimu wa Siasa JESHINI NA mkewe Salma alikuwa mwalimu wakaingia Ikulu
4.Magufuli alikuwa Mwalimu na mkewe MWALIMU wameingia ikulu

Katika maraisi watano wa nchi hii wanne wote walikuwa walimu.Walimu wana nyota ya IKULU.

Na wewe pia mwalimu wa .....................?
 
Back
Top Bottom