Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
- Thread starter
- #21
Ntaweka naooNice..though umebase one side, malizia na other side.!
Ntaweka naooNice..though umebase one side, malizia na other side.!
Kuna watu waongo... huwezi jua alafu anampenda.Mahusiano ya muda mrefu sio mazuri, miaka 2 inatosha sana zaidi ya hapo nishida
Sio wote wa leo wabaya.Sijui unawaongelea wanawake gani?awa wa kizazi kipya/wa Leo?nasubria jibu!
Omba Mungu huku unachukua hatua sababu ukifanya mchezo na hawa viumbe watakugeuza kidaraja unaona Hamna mwelekeo sepa haraka sana na usivimilie wala kumuonea hayaDuuuuuuh... omba Mungu.
Omba Mungu huku unachukua hatua sababu ukifanya mchezo na hawa viumbe watakugeuza kidaraja unaona Hamna mwelekeo sepa haraka sana na usivimilie wala kumuonea hayaDuuuuuuh... omba Mungu.
Mim mwanaume wewe.... ni post tuu.Omba Mungu huku unachukua hatua sababu ukifanya mchezo na hawa viumbe watakugeuza kidaraja unaona Hamna mwelekeo sepa haraka sana na usivimilie wala kumuonea haya
Haha ha nikajua mwanamke umeongea kwa uchungu mno .. Nisamehe mkuuMim mwanaume wewe.... ni post tuu.
Hahahahahaha.. nahisia sana na wanawakeee..Haha ha nikajua mwanamke umeongea kwa uchungu mno .. Nisamehe mkuu
Ha ha ha hongera mkuuHahahahahaha.. nahisia sana na wanawakeee..
Umenifananisha. Sijui unazungumza nini.Galacha Maestro,wewe si ndio yule wa mambo ya Nyota, Mwezi,Galaxies, vimondo,black holes na mambo ya anga kwa ujumla sasa huku mbona haulinganii kabisa au sio wewe ????
Tena sana.....Hawa ni wengi sana.
MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
Kuna vitu Vingine tuwe waangalifu jamani huwezi kukaa na mtoto wa watu miaka zaidi ya mitano umemtoa mimba zaidi ya 2 leo kakosea tu kidogo umefura humtaki tena.
Kumbe unataka Kuoa na Ushampata wa kumuoa ulikuwa unamlia timing tu umtafutie sababu na sasa umeipata. Kakuvumilia kipindi upo majalala na alikua anakutoa pesa za nauli anazopewa na wazazi wake kwa ajili ya matumizi yake., umemlaza guest za buku 5, umempeleka kumlaza kwa washikaji umeomba short time room. Hujui kama alikua anavaa ped au tambara. Wewe ulikuwa unawaza uroda tuu. Na alikupa utamu bila kinyongo.
Anyway utamuacha utamuoa huyo uliyempata, lakini jua tu kuna Mungu na Yote haya anayaona. So whatever happen usije ukabaki kusema "Every thing happens for a reason"
Sababu tayari ni hii nenda ukiijua huyu unamuacha hana jinsi atalalama na kulaani tu.
Tuwe Na Roho za Huruma jamani kumbe ndio maana watu wanabreak miezi mi4 tu baada ya ndoa.
kumbe ni kwakuwa behind humu kuna watu hawawaombei mema Unakuta Ndoa inaunguruma Usiku Mchana ni Machafuko tu hakuna ahueni. Kumbe chanzo ni laana za wanadamu wenzako.
Kumbuka na wewe una dada wakifanyiwa hivo utajisikiaje?
Kumbuka utapata watoto wa kike wakifanyiwa hivo itakuwaje?
Mwanamke mpaka kufanya ukatili mara nyingi kuna big reason behind. Japo sio wote kuna wengine ni wakatili tuu kutokana na maisha walio kulia. Ila wengi wao ni kwa ajili ya wanaume.
Wanawake wanathamani kumbuka ndio waliotuweka tumboni miezi 9, wengine wamejifungua kwa operation. Kakunyonyesha leo umekua wa kwanza kuwanyanyasa.
Unatumia lugha kali za nguoni.
MALIPO DUNIANI.
na nyie mnakaa kwenye mahusiano miaka mitano kuna utaalamu unasomea hapo? mjiongeze mwanaume miezi tu ukiona hana mwelekeo piga chini sepa ... acha kulazimisha mapenzi mnamtaja Mungu kwenye madhambi si sawa aisee............. binti ajiongeze akipata mwingine asikae nae mda mrefu kama issue ni ndoa
Jiulize ungekua wapi kama sio mwanamke.Laana ya kwanza na kuu iwapate wanawake wenyewe, ni viumbe Wa ajabu sana hawa. Kama kuna mwanamme anayemuonea huruma mwanamke apimwe akili kabisaaa
Jiulize ungekua wapi kama sio mwanamke.
DuuuuuhNaamini kungekuwa na mechanism nyngne tu tungepatikana midume. Kwa kuwa wanatuzaa au wametuzaa ndio tukubali na ujinga wanaotufanyia??
Duuuuuh.Kwa hiyo wewe ndo umekua msemaji wa wanawake?