Malcom X: Ni kipi kirefu cha hiyo 'X'?

brother-malcolm11.jpg

Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu

Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X

Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi

Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
Salute broo
 
Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X--------bravo- together we stand.
 
Kwa upande mwingine yuko sahihi kwa sababu African Americans wengi sana wamechanganya damu.

Wengi wamechanganya damu na Wazungu na Wahindi wekundu.

Hivi hujawahi kugundua kwamba hata kimuonekano wako tofauti kwa kiasi flani na Waafrika?

Ukimwona Michelle Obama huoni kama ana features kama kachanganya damu?

Ukimwona Whitney Houston huoni kwamba kachanganya damu?

Mwangalie tu hata Martin Luther King Jr., Malcolm X, W.E.B. DuBois, na wengineo.

Kwa hiyo, huyo Suge kusema hivyo ana hoja ya msingi kabisa.

Kwa nini waitwe tu African Americans tu wakati wana na heritage ya Ulaya na Wahindi wekundu?
Michael Jackson ndio kachanganya damu kabisaaaaaa, kachanganya na wale ma zombie wa kwenye thriller
 
Kama ulivyoandika mwanzo,alikuwa hataki jina la slave master. Alikuwa jela wakati ule,akajiita X. Siyo yeye tu,wafungwa wengine pia walikuwepo waliojiita X. Kwa hiyo jina hilo halina special meaning. Halafu baadaye akaenda Saudia akawa anajiita jina la Kiislamu.
 
Kuna kichwa kimoja now kinaitwa Louis Farrakhan mwanzoni na yeye alikuwa anajiita louis X ndio kiongozi Wa sasa Wa national of Islam(NOI) na ndiye aliyemrith malcom x baada ya Malcolm kufa. Jamaa ni noma kwa ambaye hajawahi kukutana na speech zake atafute youTube ndo utaelewa nikisema jamaa ni noma
 
brother-malcolm11.jpg

Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu

Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X

Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi

Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
Yap Umenikumbusha Black Americans Genesis. Malcolm X siku anaenda kuanza Skul akaulizwa jina lake akasema Malcolm Little lakini wasimuandike Malcolm Little but Malcolm X Since he had no a specific Father but a clear and concise History that is Africa.
 
brother-malcolm11.jpg

Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu

Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X

Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi

Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
Jamii Intelligence is everything we need in JF...Thanks Mkuu kwa ufafanuzi makini.
 
Kuna kichwa kimoja now kinaitwa Louis Farrakhan mwanzoni na yeye alikuwa anajiita louis X ndio kiongozi Wa sasa Wa national of Islam(NOI) na ndiye aliyemrith malcom x baada ya Malcolm kufa. Jamaa ni noma kwa ambaye hajawahi kukutana na speech zake atafute youTube ndo utaelewa nikisema jamaa ni noma
Kuhusu speech nadhani Malcom X atakumbukwa na speech ya Message to the grassroot( ujumbe mashinani) ambaye ni moja ya speech muhimu harakati kumkomboa mmarekani mweusi.
Message to the Grass Roots
 
Malcom Little alikuwa ni mkristo, na alipobadili dini kuwa Islam, ndipo alipobadili jina na kuwa Malcom X.
Si sawa kuwa alilikataa jina na Little kwa maana kuwa ni la kitumwa.
Hata Cassius Clay alipobadili dini na kuwa muislam, awali alijulikana kama Cassius X, kabla kujulikana baadae kama Muhamad Ali.
X kwa nyakati hizo ilitumika kama, alieacha kitu fulani ie imani.
 
Back
Top Bottom