Makontena mawili yakamatwa bandari kavu AMI Dar na madawa ya kulevya

Hiz ni container za yule yule mfanyabiashara Bernedict Assey
 
Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa bandari kavu AMI Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya yaliyoagizwa na kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba makontena hayo yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana kwenye vifaa vya kitaalam bandarini humo?
Tusubiri Tundu Lissu aje kututisha na Sheria za Kimataifa.
 
Sasa hivi wanashushia mzingo bandari za jirana.... wanavusha kwa ndege za kukodi.... Mzingo unashushwa msituni gari zinabeba mzigo zinapigwa gear hadi mjini
 
Material ya kutengeza heroine,cocaine ndo hayohayo yanakuwa na matumizi mbalimbali hasa kwenye maabara,viwandani etc
kuna kemikali zimepigwa marufuku kabisa duniani hata kutengenezwa kwa hiyo haziruhusiwi ndio maana hata kwenye documents wameandika kitu kingine tofauti na kilihomo kwenye makontena...
 
Ruhusa ya Bandari kavu zinazomirikiwa na kampuni binafsi {watu binafsi-wengine wakiwa na kumbukumbu za ukwepaji kodi,uharifu ni chachu ya uharifu na magendo lukuki} na Baadhi ya mawakala wa meli wamekuwa kumiriki makampuni ya uwakala wa forodha hivyo kufanikisha mnyonyoro wa uovu na hujuma kwa Taifa ...

Umakini unapaswa kuimarishwa kwa vyombo vya usalama kuwa na teknologia ya hali ya juu katika kudhibiti udhaifu wa kiuchunguzi na tathmini ya uondoshaji wa mizigo katika bandari zetu kuziepusha kuwa mifereji ya kutiririsha bidhaa zisizo rafiki kwa matumiza ya binadamu na kuathiri nguvu kazi kwa kiwango kikuu.

Mwisho tusiruhusu wageni kumiriki biashara zenye usambamba na usalama
 
Hatutaki geresha za kututoa out of attention in wat going on now ni mchanga tu
 
Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa bandari kavu AMI Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya yaliyoagizwa na kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba makontena hayo yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana kwenye vifaa vya kitaalam bandarini humo?

Kuna kila uwezekano yaliachwa yapite ili wahusika washikwe red handed.
 
Ruhusa ya Bandari kavu zinazomirikiwa na kampuni binafsi {watu binafsi-wengine wakiwa na kumbukumbu za ukwepaji kodi,uharifu ni chachu ya uharifu na magendo lukuki} na Baadhi ya mawakala wa meli wamekuwa kumiriki makampuni ya uwakala wa forodha hivyo kufanikisha mnyonyoro wa uovu na hujuma kwa Taifa ...

Umakini unapaswa kuimarishwa kwa vyombo vya usalama kuwa na teknologia ya hali ya juu katika kudhibiti udhaifu wa kiuchunguzi na tathmini ya uondoshaji wa mizigo katika bandari zetu kuziepusha kuwa mifereji ya kutiririsha bidhaa zisizo rafiki kwa matumiza ya binadamu na kuathiri nguvu kazi kwa kiwango kikuu.

Mwisho tusiruhusu wageni kumiriki biashara zenye usambamba na usalama

= zinazomilikiwa
= uhalifu
= uhalifu
= kumiliki
= kumiliki

Bandari kavu ina kosa lipi wakati scanners zote zipo bandari mbichi?
 
Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa bandari kavu AMI Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya yaliyoagizwa na kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba makontena hayo yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana kwenye vifaa vya kitaalam bandarini humo?
Kemikali za kutengeneza dawa za kulevya hutengeneza pia vitu vingine kwa hiyo mwisho wa siku hapo ni bila bila
 
kuna kemikali zimepigwa marufuku kabisa duniani hata kutengenezwa kwa hiyo haziruhusiwi ndio maana hata kwenye documents wameandika kitu kingine tofauti na kilihomo kwenye makontena...
Kwahyo strictly zinatengenezewa madawa ya kulevya au mleta mada analeta kishabiki tu??
 
Watu wa madawa wanazo mbinu nyingi sana, na hiyo ni moja wapo tu ya mbinu elfu walizonazo kusafirishia madawa. Kazi nzuri, wakakutane na mkono wa sheria sasa.
Huko utaambiwa hizo zinatengeneza dawa za hospitali.
 
YAANI BILA KUCHUKUA HATUA KAMA ZILE ZA DUTERTE HALI BADO ITAKUWA TETE SANA, BADILISHENI SHERIA ATAKAEKUTWA NAYO NA ALIEMTUMA NI KUPIGA RISASI TU.
JELA WATAMALIZA NAFASI NA KUTUPA GHARAMA YA KODI ZETU KUWALISHA.
 
Mkuu nisome tena kwa jicho la pili utanielewa
Na naomba unitake radhi mi sina chama
Na wala sipo upinzani wa ccm
Fatilia michango yangu utanielewa

Kitu ambacho huniwia na hunipa Ugumu ni Kuomba Msamaha kwa Mnafiki wa Kisiasa na Kiharakati.
 
Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa bandari kavu AMI Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya yaliyoagizwa na kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba makontena hayo yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana kwenye vifaa vya kitaalam bandarini humo?
Rekebisha hiyo heading kwanza ili tuchangie usahihi.
 
Back
Top Bottom