Makonda: Tumetenga bajeti ya kuwapa nauli ombaomba wote warudi mikoani, waje muda wowote kuchukua

serikali imeshindwa kupanga mipango endelevu kuwasaidia hao jamaa?! hizo hela si bora uwape mashamba wajitegemee,lol,hivi Makonda unadhania kwao hawakujui?ni kuwa wameona ugumu wa kuendesha decent living,huko kwao.
 
Back
Top Bottom