Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,685
- 119,325
Huyu Paul Christian Makonda ni very, bright, very intelligent and is dam good kwenye kujibu maswali na kwenye mijadala. Leo ameulizwa kuhusu kufoji vyeti amepangua kwa kuwataka Watangazaji wakaulize mamlaka yake ya ajira.
Watangazaji nao ni too weak kumbananisha kwenye kona. Kiukweli Makonda ni akili kubwa.
Paskali
Watangazaji nao ni too weak kumbananisha kwenye kona. Kiukweli Makonda ni akili kubwa.
Paskali