pasco mayallaMkuu Chakaza, mimi natofautiana na wewe kwa kumsisitizia Paul Makonda ashikilie msimamo huo huo wa kukaa kimya, asigeuke nyuma atageuka jiwe.
Jana pale kanisani alilia kwa uchungu kwa jinsi watu wabaya wanavyomsingizia. Mimi ni miongoni mwa washauri wake wa bure humu JF.
Kashfa hii ilipoibuka tuu nikamshauri ifuatavyo
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?
Baada ya mimi kujiridhisha tuhuma hizi ni uongo tuu na uzushi, nikamshauri anyamaze kimya na asijibu kitu.
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Paskali
Basi kama umeshaujua ukweli basi uweke humu ukweli wenyewe?