Makonda ipo siku utamtafuta Warioba na Malechela kama wazee wakuombee msamaha kwa uliowachafua

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Wanaukumbi

Namkumbusha Paul Makonda ajitafakari mbeleni, ajiulize alipo Magesa Mulongo.

Siku zote kuna kupanda ngazi na kushuka, matatizo huanza na Legasy mbaya ulioacha hasa kwa kuuweka utofauti na watu fulani wakati ukiwa na mamlaka

Angalia Mbowe na wengineo watakufungulia kesi za kutosha, hapo hapo ukapigwa chini, lile bembea unalolitegenea kisheria likawa kando..lazima kortini utabaki peke yako.

Bila ubishi utampigia magoti Warioba, Lowassa ,Sumaye na Malechela wazungumze na akina Mbowe mmalizane nje ya korti... kabla ya hapo Utawaomba msamaha kwanza hao wazee.
Wakati huo unakuja na atakayekupeleka kwa hao wazee watakuwa Zitto ama Lema.

Time will tel.
 
Na yule mama afisa ardhi hapo jijini Dar.....alitukanwa laivu mama wa watu mtu mzima wa kukaribia kustaafu,pengine hata watoto na familia yake alikuwa pale,nadhani huyu mama hajamsamehe

Warioba baada ya kupigwa teke na kuvutwavutwa shati ,na yeye hajamsamehe.
 
Namkumbusha Paul Makonda ajitafakari mbeleni, ajiulize alipo Magesa Mulongo.
Vp mkuu Magesa mulongo anaokota makopo sasa hivi?????.....
kukusaidia tu Maisha anayoishi Magessa mpaka unaenda kaburini hautakuja kuishi kamwe maisha yako yako yote......
Hizo bangi mnazovuta hapo UFIPA ebu ziacheni awamu hii....

Afu hiki unachosema hapa kuhusu Makonda usisahau kurudi hapa after one year UTUKUMBUSHIE.......
 
atu mtu mzima wa kukaribia kustaafu,pengine hata watoto na familia yake alikuwa pale,nadhani huyu mama hajamsamehe
CHEKI MLIVYO WAONGO na mnavyotumia nguvu nyingi kupotosha........Hivi unamfahamu huyo AFISA ARDHI???? ni kweli alikuwa ana karibia kustaafu au UNATUMIA HISIA ZA MAKALIO kupotosha uwongo humu??????
MNALAAANA AISEEEEH SI BURE......
 
Yule mama namfahamu,ameanza kupata na mvi hata ofisini wanamheshimu sana kutoka na na umri wake
 
Yule mama namfahamu,ameanza kupata na mvi hata ofisini wanamheshimu sana kutoka na na umri wake
Si kweli kabsa.......Nenda pale kinondoni ULIZIA afisa ARDHI UONYESHWE afu urudi hapa ulete umbea wako........
 
Ohooooo!!!
 
Kwani mzee Warioba nae ni wa ufipa siku hizi?
 
CHEKI MLIVYO WAONGO na mnavyotumia nguvu nyingi kupotosha........Hivi unamfahamu huyo AFISA ARDHI???? ni kweli alikuwa ana karibia kustaafu au UNATUMIA HISIA ZA MAKALIO kupotosha uwongo humu??????
MNALAAANA AISEEEEH SI BURE......

Huu mchezo hauhitaji hasira !!
 
kila mwenye akili timamu anafahamu fika kwamba cheo ni dhamana, vijana wengi siku hizi wakipewa vyeo basi wanamajivuno utadhani wao ni miungu watu kutukana watu. yule Ofisa ardhi mimi simjui lakini awe Mzee au kijana lakini anastahili heshima ya utu haiwezekani kumdhalilisha namna ile. ukitaka kujua uchungu wa kutukana watu watu kama alivyofanyiwa yule ofisa ardhi basi uvae viatu vyake. je Kama ingekuwa uwewe ungejisikia vipi kudhalilishwa.
 
Hivi mtoto wake John Mulongo yuko wapi siku hizi?
 
CHEKI MLIVYO WAONGO na mnavyotumia nguvu nyingi kupotosha........Hivi unamfahamu huyo AFISA ARDHI???? ni kweli alikuwa ana karibia kustaafu au UNATUMIA HISIA ZA MAKALIO kupotosha uwongo humu??????
MNALAAANA AISEEEEH SI BURE......
Duuh hiyo lugha! Umelipwa ngapi? Rusha hata voucher tigo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…