share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,065
- 10,466
Tehe tehe tehe, baba kapata Basha! mfyuuuuu.Huyu mke wa Kipara ngoto wa nini humu?
Tehe tehe tehe, baba kapata Basha! mfyuuuuu.Huyu mke wa Kipara ngoto wa nini humu?
Eeeeeehhhhhh!! Unasema?Huyu mke wa Kipara ngoto wa nini humu?
halafu wahuni waendelee kuiba tu hapa nchini?
unajua kuna uwezekano ulitunga bahati mbaya, au alibakwa?
yaani chuki imepofua mpaka mambo ya maana, wakimpotezea anayeumia nani?
watu wamekwiba 70bn zinaokolewa unasema bora wasimuandike?
mkuu kama unafuata mkumbo basi leo unajiona ni bonge la choko!
Hutaki pita... Wengine tunatakaNakuheshimu sana kama mwajf nguri lakini huyu Bashite alifungiwa. Hatutaki kumuona humu
Wakati yeye akituhumiwa kwa mambo mengi na akiwa hajajibu tuhuma zinazomkabili,Mkuu wa Mkoa wa Dar-ez-Salaama,Paul Makonda,ameitaka TAKUKURU kuwachunguza watendaji wa mkoa huo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ys shilingi bilioni 7 za miradi ya maendeleo.
Makonda amedai yeye na timu yake ndio wamegundua udanganyifu katika vitabu vya mahesabu vya miradi viliyowasilishwa kwake na hivyo katoa wiki mbili kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Chanzo:TBC 1
Hii ndio Tanzania bwana!
Ni bora tukayajua haya ili kama ni nyongo kupanda basi iendelee kutupanda tu ili 2020 tusifanye makosa.
Maumivu na maudhi haya ndio yatatupa akili maana sisi ni wepesi wa kusahau.
Yeye mwenyewe ni jangili la elimu na tuhuma kibao, hivyo hana uwezo wa kuiambia takukuru ichunguze watu wakati inatakiwa ianze kumchunguza yyWakati yeye akituhumiwa kwa mambo mengi na akiwa hajajibu tuhuma zinazomkabili,Mkuu wa Mkoa wa Dar-ez-Salaama,Paul Makonda,ameitaka TAKUKURU kuwachunguza watendaji wa mkoa huo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ys shilingi bilioni 7 za miradi ya maendeleo.
Makonda amedai yeye na timu yake ndio wamegundua udanganyifu katika vitabu vya mahesabu vya miradi viliyowasilishwa kwake na hivyo katoa wiki mbili kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Chanzo:TBC 1
Hii ndio Tanzania bwana!
Ni bora tukayajua haya ili kama ni nyongo kupanda basi iendelee kutupanda tu ili 2020 tusifanye makosa.
Maumivu na maudhi haya ndio yatatupa akili maana sisi ni wepesi wa kusahau.
Yeye a meshachunguzwa juu ya vyeti?