Alphonce Kagezi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 338
- 163
Anaelindwa humpiga asina wakumlinda
Haya ndo maajabu yanayotokea ktk Bongo land!Jambazi anachunguza majambazi wenzake. Interesting.....
kwa hiyo jf ya sasa haitaki kijadili habari za rushwa?
Makonda mpaka pesa za mwenge stand wanakula sanaWakati yeye akituhumiwa kwa mambo mengi na akiwa hajajibu tuhuma zinazomkabili,Mkuu wa Mkoa wa Dar-ez-Salaama,Paul Makonda,ameitaka TAKUKURU kuwachunguza watendaji wa mkoa huo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ys shilingi bilioni 7 za miradi ya maendeleo.
Makonda amedai yeye na timu yake ndio wamegundua udanganyifu katika vitabu vya mahesabu vya miradi viliyowasilishwa kwake na hivyo katoa wiki mbili kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Chanzo:TBC 1
Hii ndio Tanzania bwana!
Ni bora tukayajua haya ili kama ni nyongo kupanda basi iendelee kutupanda tu ili 2020 tusifanye makosa.
Maumivu na maudhi haya ndio yatatupa akili maana sisi ni wepesi wa kusahau.
Na utashangaa hao TAKUKURU watafungua hadi kesi kwa hao watumishi lakini KAMWE HAWATAMGUSA DAUDI.
kipara mwakaHuyu mke wa Kipara ngoto wa nini humu?
Vitu vingine kwakweli havivumikiki na ni bora watu wakavijua ili tuona jinsi wenye mamlaka wanavyotuchukulia.
Hii nchi inasikitisha sana
HahahahahWakati yeye akituhumiwa kwa mambo mengi na akiwa hajajibu tuhuma zinazomkabili,Mkuu wa Mkoa wa Dar-ez-Salaama,Paul Makonda,ameitaka TAKUKURU kuwachunguza watendaji wa mkoa huo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ys shilingi bilioni 7 za miradi ya maendeleo.
Makonda amedai yeye na timu yake ndio wamegundua udanganyifu katika vitabu vya mahesabu vya miradi viliyowasilishwa kwake na hivyo katoa wiki mbili kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Chanzo:TBC 1
Hii ndio Tanzania bwana!
Ni bora tukayajua haya ili kama ni nyongo kupanda basi iendelee kutupanda tu ili 2020 tusifanye makosa.
Maumivu na maudhi haya ndio yatatupa akili maana sisi ni wepesi wa kusahau.
Best comment EVER.Makonda after soo much talks about you bado unashirikisha media kwenye mambo yako???
watu wataishia kukucheka na kukudharau,
kwani mikoa mengine wakuu wake hawafanyi kazi??umewaona kwenye media?
kulikua na ulazima gani kupeleka hili jambo watu wajue?
ulishindwa kuwasiliana na TAKURURU privately wafanye hii kazi????
inaelekea unapenda attention?media
Mkuu,be ready with consequences that comes with it