TEACHER FRANK MSIGWA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 537
- 443
Tangu lini mtuhumiwa wa kofoji vyeti akaagiza watu wenye vyeti vyao halali wachunguzwe
Wakati yeye akituhumiwa kwa mambo mengi na akiwa hajajibu tuhuma zinazomkabili,Mkuu wa Mkoa wa Dar-ez-Salaama,Paul Makonda,ameitaka TAKUKURU kuwachunguza watendaji wa mkoa huo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ys shilingi bilioni 7 za miradi ya maendeleo.
Makonda amedai yeye na timu yake ndio wamegundua udanganyifu katika vitabu vya mahesabu vya miradi viliyowasilishwa kwake na hivyo katoa wiki mbili kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Chanzo:TBC 1
Hii ndio Tanzania bwana!
Ni bora tukayajua haya ili kama ni nyongo kupanda basi iendelee kutupanda tu ili 2020 tusifanye makosa na haa hii teuzi ya leo ya mpinzani kutoka chama fulani isitupumbaze kama baadhi yetu walivyoaanza kuchotwa akili.
Maumivu na maudhi haya ndio yatatupa akili.

Ni kwasababu tumekuwa wapole kupita kiasi na haya ndio matokeo yake.Ama kweli Bashite haoni kundule! Duh!
Kumbe unampiga chabo Makonda kupitia TBC!Wakati yeye akituhumiwa kwa mambo mengi na akiwa hajajibu tuhuma zinazomkabili,Mkuu wa Mkoa wa Dar-ez-Salaama,Paul Makonda,ameitaka TAKUKURU kuwachunguza watendaji wa mkoa huo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ys shilingi bilioni 7 za miradi ya maendeleo.
Makonda amedai yeye na timu yake ndio wamegundua udanganyifu katika vitabu vya mahesabu vya miradi viliyowasilishwa kwake na hivyo katoa wiki mbili kwa TAKUKURU kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Chanzo:TBC 1
Hii ndio Tanzania bwana!
Ni bora tukayajua haya ili kama ni nyongo kupanda basi iendelee kutupanda tu ili 2020 tusifanye makosa.
Maumivu na maudhi haya ndio yatatupa akili maana sisi ni wepesi wa kusahau.
Nimeangalia TBC 1 kwasababu ya kusubiri matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa EALA.Kumbe unampiga chabo Makonda kupitia TBC!
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.Ohh maumivu yatatupa akili,mara sisi ni wepesi kusahau!
Majungu kwa Makonda yamefeli,umeumia sana Makonda kufichua ufisadi wa bilioni 7,za tathmini hewa.Mambo haya ndio yanayotakiwa sio vyeti,
kwa hiyo jf ya sasa haitaki kijadili habari za rushwa?Salary Slip chunga sana! Nikipewa u mod kwa dakika 10 tuu utakula Ban ya miezi kadhaa! Hizkwao habari hatuzitaki hapa