Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,538
Kaizer Chief kafa 4 bila kwao, naogopa tuendelee kujadili jezi au tujadili namna ya kuwazuia wasitudhalilishe?
Sawa baba a few moments sasa........8Yanga wa kawaida promo kibao
Duh, aisee mtani unahitaji faili na dawa za Mirembe! Promo gani?Yanga wa kawaida promo kibao
Na zile 5 kacopy na ku paste kutoka wapiView attachment 3055909unaongelea hii ambayo huyo designer wenu amecopy na kupaste
Waliingia kwa mapambia na kuonyesha mashabiki vidole viwili wengine walitafsiri magoli mawili mimi nilitafsiri victory yaani ushindi matokeo yake wakabahatika kupigwa 4 badala ya kono la..........Duh, aisee mtani unahitaji faili na dawa za Mirembe! Promo gani?
Kaizer Chiefs hawakupita katikati dkk 90 na hawakupata one on one hata moja na Diarra!!
Ule mziki wa Yanga ni next level Mkuu tusilaumiane tarehe 8 kama vipi msilete timu kimbieni nchi mwende Burundi!!
Hii Yanga ina masifa mno ni kipigo tu kwa kila anaejaa kwenye 18 za uto.
Brother promo Yanga hakuna boli linatembea tu kila mtu anaona, Eng Hersi aliwapa moyo sana wachezaji kabla ya mechi angalau tarehe 8 japo tumuone uwanjani Mbumbumbu Mangungo, kuiga kitu kizuri si vibaya!
Tarehe 8 tukutane kwa Mkapa lawama hatutaki na VAR iwepo!! Tunachojua tutawapiga tena makolo bakora khamsa ishirini magoli mawili ya Dube mwamba halali na njaa!