Makamu Rais wa Kwanza Zanzibar: Mikoa na Wilaya vimekuwa Vituo vya Siasa badala ya kuwa Vitovu vya Maendeleo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
58,676
69,306
Kwanza naunga mkono na miguu hoja ya Makampuni wa pili wa Rais Zanzibar kutoka ACT bwana Masoud Othman.

Wakati sheria ya ugatuaji madaraka inaanzishwa ilikuwa na lengo la Kupeleka mamlaka ya kiutendaji na kimaamuzi hasa kwenye masuala ya Maendeleo kwenye mamlaka za serikali za mitaa kuanzia Mkoani,Wilayani Hadi ngazi ya Kijiji.

Sasa leo hii Mikoa na Wilaya vimegeuzwa kuwa Vituo vya kukuza siasa plus nafasi zake zote za utendaji zimegeuzwa kuwa za Kisiasa kuanzia RAS, DAS, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara nk yaani sifa kuu ya kupata nafasi ni kuwa mwanachama.

Kiufupi Chama cha Mapinduzi kimeteka nyara ugatuaji na kuifanya sehemu ya kuwapa fursa Wanachama wake.Hii haikubaliko na inatakiwa kupingwa.

Leo hii Mamlaka za Serikali za Mitaa zimekuwa tegemezi Kwa Kila kitu kutoka Serikali kuu na kunyimwa uhuru wake wa kujiamulia mipango yao, kubuni na kuweka vipaombele kulingana na mazingira yake badala yake hela zinachukuliwa na Serikali Kuu na zinarudishwa kiduchi au wakati mwingine unaletewa miradi ya serikali kuu ambayo Haina Tija Kwa watu wa eneo husika.

My Take: Hatuwezi kuendelea na sheria za kipuuzi ambazo zinatoa fursa Kwa Vyama kuteka nyara ugatuaji wa madaraka.

Tunalalamika maendeleo hayafiki Mikoani na Mapato ya Mikoa yanachukukiwa na kwenda Kupelekwa kwenye matumizi ambayo Serikali kuu inayajua huku sisi tukibakia maskini.

Tuungane na wapenda maendeleo kupinga hili Suala. Mamlaka ya serikali za mitaa irejeshewe Nguvu zake Ili tujifanyie maamuzi ya Maendeleo yetu sisi wenyewe. Ni aibu Waziri kuzungumzia vyoo huko Bungeni.
 
View: https://www.instagram.com/reel/C4YqKjLAMLP/?igsh=MWJ2dnZ0dzJwcjdqag==

My Take: Hatuwezi kuendelea na sheria za kipuuzi ambazo zinatoa fursa Kwa Vyama kuteka nyara ugatuaji wa madaraka.

Tunalalamika maendeleo hayafiki Mikoani na Mapato ya Mikoa yanachukukiwa na kwenda Kupelekwa kwenye matumizi ambayo Serikali kuu inayajua huku sisi tukibakia maskini.

Tuungane na wapenda maendeleo kupinga hili Suala. Mamlaka ya serikali za mitaa irejeshewe Nguvu zake Ili tujifanyie maamuzi ya Maendeleo yetu sisi wenyewe. Ni aibu Waziri kuzungumzia vyoo huko Bungeni.

Ukiamua kutema cheche unatoa nondo sio za mchezo !!
😅😅🙏🙏🙏
 
Njia pekee ya kuondokana na janga hili kubwa, baya na la hatari ni KUVUNJA JENGO LOTE KABISA ( i.e. Katiba ya Nchi) na Kisha kujenga tena jengo lingine jipya kabisa tukianzia na ujenzi wa nsingi mpya.
 
Back
Top Bottom