Makampuni ya Canada na Australia yakabana koo kugombea mgodi wa dhahabu wa Nyanzaga. Wasiwasi wa mradi kuchelewa uzalishaji yatanda

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
58,910
69,628
Makampuni kutoka Canada na Australia yamekuwa kwenye Mgogoro mzito wa Kugombea umiliki wa mgodi Mpya wa Nyanzaga huko Sengerema Mwanza ambapo Kila kampuni inadai umiliki halali.

Hali hii imepelekea mradi huo kuingia kwenye sintofahamu ya kutoanza uzalishaji Kwa wakati na hivyo kurudisha nyuma juhudi za Nchi kunufaika na Madini yake.

Mgodi huo ambao unatarajiwa kuwa mkubwa zaidi Nchini Tanznaia baada ya ule wa GGM utakuwa na uzalishaji mkubwa na unatarajiwa Kudumu Kwa mda wa miaka 11 kulingana na makadirio ya mashapo ya Dhahabu yaliyogundulika Hadi Sasa.
---
Two foreign mining firms – SilverCorp Metals Inc of Canada and Australia’s Perseus Mining Limited – are locked in a battle for the control of the Nyanzaga gold project in Mwanza Region.

The Citizen has established that the tug of war dates back to August 2023 when OreCorp Limited, the project’s majority owner, sought financial support to develop the project.

SilverCorp responded by making an all-cash offer to acquire OreCorp’s shares in the project.

The offer of 0.15 Australian dollar per share, made through a plan of arrangement, was submitted to the Fair Competition Board (FCC).

The FCC had approved the transaction by November 3, 2023 and SilverCorp received a merger clearance certificate. But on November 23, 2024, SilverCorp raised its bid from 0.15 to 0.19 Australian dollar per share.

However, four days after SilverCorp’s announcement, Perseus Mining Limited announced that it had increased its stake from 15.03% to 19.9% in OreCorp as a strategic equity investment, making it the largest shareholder.

Perseus’ announcement prompted SilverCorp to safeguard its interests by entering into a bid implementation deed with OreCorp.

My Take
Interests za makampuni sio za Nchi, Serikali chukieni hatua mapema.

Serikali ikichelewa kuingilia Mgogoro huu basi kesi hizi zikifikishwa mahakamani hakuna uzalishaji utaanza hapo Nyanzaga na itakuwa kama kule Pemba ambapo Mgogoro wa kampuni umesabababishwa Kushindwa kuanza Kwa ujenzi wa uwanja Mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Pemba.
 
Mungu amelibariki hili taifa mpaka akapitiliza kwa baraka zake, lakini CCM wameligeuza kuwa taifa lililolaanika kupita maelezo, najua baada ya kupita hiyo miaka 11 ya uchimbaji hapo tutaachiwa mashimo tu, na umaskini uliotapakaa kwa jamii iliyozunguka huo mgodi.

Matokeo yake wazungu ndio wanakuja kugombania uchimbaji wa rasilimali zetu baada ya miaka 60 tangu tupate uhuru, licha ya wataalamu tulionao bado tupo kwa ajili ya kuwashibisha wageni, kama ikitokea Nyerere akafufuka leo akutane na hii kesi, naamini kabisa atakufa tena.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kweli nchi hii tunasubiri mgao wa faida ya makaratasi badala ya matofali ya dhahabu. Sioni mtu wetu katika meza ya majadiliano au ndo tumeuza haki zote tukisubiri kwa matumaini matokeo ya mgao ktk makaratasi yaani Ore Corp Limited asilimia 84% na Serikali ya Tanzania asilimia 16%.

Colorado Springs
Denver, Colorado USA

Wakubwa wenye hisa wa Silvercorp Metals President Lon Shaver na Orecorp Managing Director Hank Diederichs katika meza

View: https://m.youtube.com/watch?v=ACHzRNqMEO4

18 October 2023
Silvercorp Metals President Lon Shaver and Orecorp Managing Director Hank Diederichs provided an update on Silvercorp’s proposed acquisition of Orecorp and its Nyanzaga gold project in Tanzania.

The deal was announced in August and will expand Silvercorp’s portfolio beyond its core assets in China.Orecorp shareholders will own approximately 18% of the combined company after the acquisition closes. Diederichs noted Orecorp has a strong shareholder base of retail, high net worth individuals, and institutions that are enthusiastic supporters of Nyanzaga
 
Nyanzaga Sengerema
Tanzania

MABALOZI WA UMOJA WA ULAYA ZAIDI YA KUMI WAFIKA SENGEREMA

Gap analysis inayofanywa na mabalozi wa Umoja wa Ulaya wafika kuona faida baina ya wachimbaji wadogo na wakubwa. Mabalozi wa Italia, Poland, Spain ni mojawapo wa waheshimiwa kutoka Umoja wa Ulaya na pia kutoka Australia.

Viongozi wa CCM na serikali wadai MGODI wa Nyanzaga Sengerema-- Fursa / Ajira Nje nje waliongozana na ujumbe huo mzito wa wageni kutoka balozi hizo za mataifa ya nje

View: https://m.youtube.com/watch?v=-3i3zpH6pHY
 
Kweli nchi hii tunasubiri mgao wa faida ya makaratasi badala ya matofali ya dhahabu. Sioni mtu wetu katika meza ya majadiliano au ndo tumeuza haki zote tukisubiri kwa matumaini matokeo ya mgao ktk makaratasi

Colarado Springs
Denver, Colarado USA

Wakubwa wa Silvercorp Metals President Lon Shaver na Orecorp Managing Director Hank Diederichs katika meza

View: https://m.youtube.com/watch?v=ACHzRNqMEO4

18 October 2023
Silvercorp Metals President Lon Shaver and Orecorp Managing Director Hank Diederichs provided an update on Silvercorp’s proposed acquisition of Orecorp and its Nyanzaga gold project in Tanzania.

The deal was announced in August and will expand Silvercorp’s portfolio beyond its core assets in China.Orecorp shareholders will own approximately 18% of the combined company after the acquisition closes. Diederichs noted Orecorp has a strong shareholder base of retail, high net worth individuals, and institutions that are enthusiastic supporters of Nyanzaga

Kama mumeshindwa kuwekeza kwenye utafiti nyie mnauza tuu taarifa za Juu Juu za utafiti na wao wanafanya exploration Hadi wanagundua ndio wanawapa taarifa then unataka meza ya majadiliano yapi?

Wewe utapata kile kilichotamkwa kwenye sheria ya Madini tuu.
 
Juu Juu za utafiti na wao wanafanya exploration

Wachimbaji wadogo, SACCOS za wachimbaji , wenyeji mmoja mmoja Nyanzaga Sengerema ndiyo walioibua taarifa za uwepo wa madini lakini hawapewi share / ubia bali wanahamishwa.

Sera hii inatakiwa kubadilishwa ili wananchi wa eneo wafaidike na madini hayo hadi mwisho wa uhai wa mgodi.

TOKA MAKTABA:

LINI SERIKALI ITAACHA KUWATIMUA WANANCHI

Badala yake ardhi ya mtu au kijiji iwe ndiyo mtaji wake wa kufanya biashara ya ubia na mwekezaji.

Anaongelea wekezaji mdogo, lakini hataki mchimbaji mdogo au kijiji kuingia ubia na wawekezaji wakubwa wa nje.

Serikali ya CCM kazi yake ni kuwatimua mchimbaji mdogo au wanakijiji wenye ardhi iliyo na madini au Vito

Toka Maktaba :

Na mgawanyo uwe vitofali vya dhahabu, karai la Vito n.k au makubaliano baina ya mwananchi mnyonge mwenye kumiliki ardhi au baina ya kijiji kinachomiliki ardhi na mwekezaji.

1 July 2023

Under the new deal announced on Friday, Botswana gets a bigger share of rough stones from their joint venture, Debswana.

Botswana and mining company De Beers have announced a new diamond sales deal.
1709046367714.png

The new deal, concluded on Friday, gives Botswana a bigger share of rough stones from their joint venture.

Debswana, a joint venture between Anglo American unit De Beers and Botswana's government, sells 75% of its output to De Beers, with the balance taken up by state-owned Okavango Diamond Co.

The new agreement covers a 10-year sales deal for Debswana rough diamond production through to 2033 and 25-year Debswana mining licences.

In the run-up to Friday's deal, Botswana President Mokgweetsi Masisi, who is expected to seek re-election next year, had pushed De Beers for a bigger share of Debswana's output.

In March, Botswana announced it would take a 24% stake in Belgian gem processing firm HB Antwerp in a move seen as designed to loosen De Beers' grip on the country's gems.

Botswana supplies 70% of De Beers' rough diamonds
 
BALAA KUBWA HII !! MGODI HUU WA MADINI WATANGAZA KUWALIPA MAMILIONI HAYA YA PESA WANANCHI HAWA SENGEREMA.

5 September 2023
DC Amina Makilagi asoma meseji kadha za milioni ya shilingi katika baadhi ya simu za wananchi

View: https://m.youtube.com/watch?v=y9H_fhSJAKs

Wananchi wa Igalula-Sengerema waanza kulipwa fidia kupisha shughuli za Mgodi.

Zaidi ya Shilingi Bilioni 50 zinatarajiwa kulipwa kwa wanufaika 853 kwenye Vijiji vya Sotta na Nyabila kata ya Igalula- Sengerema ili kupisha shughuli za uchimbaji Madini ya Dhahabu Nyanzaga Mgodi unaomilikiwa kwa Ubia Kati ya Kampuni ya Ore Corp Limited (84%) na Serikali ya Tanzania (16%).

Akizungumza leo Septemba 04, 2023 kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Makilagi akiwa kwenye hafla ya kukabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 3.7 ambazo zimeshalipwa kwa waguswa ikiwa ni ishara ya kuendelea kwa zoezi la ulipaji fidia kwa wanaopisha shughuli za uchimbaji ameipongeza kampuni hiyo.

DC Amina Makilagi amesema, waguswa 152 sawa na asilimia 17.8 ya ambao hawajasaini mikataba ya fidia wanapaswa kufanya hivyo na kujiandaa kupisha kwenye maeneo na hata wanaojengewa nyumba kufanya hivyo mara tu watakapopata nyumba zao na kwamba serikali ipo bega kwa bega kusimamia haki za wananchi na mwekezaji kwa manufaa ya Taifa.

Mhe. DC Amina Makilagi amesema hatua iliyofikiwa na ulipaji wa Fidia kwa wananchi ni ishara njema ya kuanza rasmi kwa shughuli za uchimbaji kwenye eneo hilo hivyo ni wajibu wa wanufaika walichangamkie na akatoa wito kwa wananchi wa Sengerema kujiandaa na fursa za kiuchumi kama ajira na kufanya biashara kutokana na uwepo wa Mgodi huo uliowekeza zaidi ya Trilioni 1.

Vilevile DC Amina Makilagi , ametumia wasaa huo kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi imara uliopelekea ongezeko la Pato la Taifa kwenye sekta ya madini hadi kufikia Asilimia 10 kutokana na makusanyo makubwa na kwa usimamizi na utekelezaji mzuri wa miradi ya kimkakati ambayo inaleta si tu uboreshaji wa huduma za jamii bali ukuaji wa kiujumla wa uchumi wa nchi.

Hata hivyo DC Amina Makilagi , ametoa wito kwa kampuni hiyo na makampuni mengine madogo yaliyoingia mkataba na kampuni mama kuhakikisha wanatekeleza vema sheria ya kurejesha faida kwa jamii inayozunguka na ushuru wa huduma kwa kulipa kodi zote stahiki kwa serikali kuu kupitia Mamlaka ya mapato nchini (TRA) na ile ya halmashauri.

"Kutokana na shughuli mbalimbali za kibinadamu kumekua na mabadiliko ya Tabia nchi hivyo natoa wito kutochafua vyanzo vya maji na kuhakikisha mnatunza mazingira na kuhakikisha mnalilinda ziwa letu na mjiepushe na ukataji wa miti ili kuepusha athari za kimazingira na wananchi naomba tujenge tabia ya kupanda miti" Mhe. DC Amina Makilagi asisitiza.

Akizungumzia utekeleaji wa mpango wa uhamishaji watu na makazi, msimamizi wa miradi ya kampuni hiyo nchini Bw. Isaac Lupokela amesema hadi Septemba 02, 2023 waguswa 701 wameshapata ufafanuzi wa stahiki zao na wamekwisha saini mikataba na kwamba mikataba 190 imekamilika na kuchukuliwa na waguswa na uelimishaji unaendelea.

Mwakilishi wa kampuni ya madini Bw. Isaac Lupokela amesema "Tunaendelea na kazi ya Ujenzi na utaajiri maelfu ya watanzania wa maeneo ya jirani ambapo tunatarajia kuwaajiri zaidi ya watu elfu moja na zitakuwepo pia ajira za muda, zoezi la uchimbaji dhahabu litakua na manufaa kwa Sengerema na Taifa kwa ujumla, na fedha za ulipaji fidia tayari zipo kwenye akaunti."

Bw. Isaac Lupokela amefafanua kuwa leseni namba 653 ya mwaka 2021 iliwapa kampuni hiyo eneo lenye ukubwa wa Hekta za Mraba 23. 4 na kwamba kwakuwa kulikua na Kaya zinazoishi ndani ya eneo hilo walipashwa kufanya uthaminishaji ili kulipa fidia stahiki kabla ya kutwaa ardhi hiyo kwa mujibu wa sheria jambo ambalo linafika mwisho siku za usoni.
 
Madini yote nchi hii yanamilikiwa na makampuni ya kigeni

Halafu Benki Kuu ya Tanzania - BoT, wizara ya Fedha wanategemea kuwa na akiba ya matofali ya dhahabu katika sefu za Benki Kuu ya Tanzania kwa mikataba ya makaratasi badala ya mikataba ya mali kwa mali kama wenzetu nchi ya kiafrika ya Botswana.
 
1709077273763.png

Baadaye wizara na serikali inaanza kulilia ipewe dhahabu kwa kuuziwa sijui kwa fedha za kigeni au madafu, hata hivyo inashangaza kwanini mikataba isiwe ya kugawana mali halisi inayopatikana mfano vitofali ya dhahabu badala ya kununua kutoka kwa mwekezaji au gawio la faida ya makaratasi.

Serikali awali ilidai mali iliyopo ardhi ni mali ya umma na kuchukua hatua kuhamisha watu, halafu baadaye inalilia kuuziwa dhahabu na mwekezaji wa nje . Mfano taarifa hii hapa chini :

DKT. MWIGULU NCHEMBA AISHAURI ANGLO GOLD ASHANTI KUIUZIA DHAHABU BENKI KUU YA TANZANIA​

24 Jan, 2024
1709076433507.png

WAZIRI wa Fedha, mheshimiwa mchumi Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kulia), akisalimiana na Afisa Mkuu wa masuala ya Fedha wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Anglo Gold Ashanti, inayomiliki Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mine-GGM), Bi. Gillian Doran, walipokutana kujadili masuala kadhaa ya ushirikiano kati ya Kampuni hiyo na Serikali, jijini Dodoma.

WAZIRI wa Fedha, mheshimiwa mchumi Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameushauri uongozi wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Anglo Gold Ashanti, inayomiliki Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mine-GGM), kuanza kuiuzia Serikali dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania ili kuiwezesha Serikali kuhifadhi dhahabu kama akiba ya fedha za kigeni.

Mchumi Dkt. Nchemba ametoa ushauri huo Jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mkuu wa masuala ya Fedha wa Kampuni hiyo, Bi. Gillian Doran, ambapo wamejadili masuala kadhaa ya ushirikiano kati ya Kampuni hiyo na Serikali.

Alisema kuwa hatua hiyo itaifanya Serikali kuwa na chanzo cha uhakika cha kupata dhahabu pamoja na kuwatumia wachimbaji wadogo ambao hivi sasa ndio wanaofanyabiashara ya kuiuzia dhahabu Benki Kuu ya Tanzania.

“Lengo la hatua ya Serikali ya kuanza kuhifadhi dhahabu kama fedha za kigeni ni kuifanya nchi kuwa na chanzo cha uhakika cha fedha za kigeni kitakachotumika kama dhamana wakati inapohitaji fedha hizo kwa ajili ya matumizi mbalimbali badala ya kutegemea mikopo” alisema mchumi mbobezi Dkt. Nchemba.

Aidha, mchumi Dkt. Nchemba alisema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameilekeza Wizara ya Fedha kuanza kununua dhahabu na kuitunza kama fedha za kigeni, maelekezo ambayo tumeyatekeleza na Benki Kuu imeanza kununua dhahabu.

“Akiba ya Dhahabu itatusaidia kununua bidhaa muhimu zitakazokuwa zinahitajika nchini ikiwemo mafuta na bidhaa nyingine, wakati wa changamoto ya upatikanaji wa fedha za kigeni na hatua hii inafaida kubwa kiuchumi” alisisitiza mchumi bobezi Dkt. Nchemba

Vilevile mchumi tajwa Dkt. Nchemba alisema kuwa mitambo ya kuchenjua dhahabu iliyojengwa Geita na Mwanza, itakuwa na manufaa endapo dhahabu inayozalishwa nchini itachakatwa na kuongezwa thamani hapa hapa nchini na kuchangia pato la Taifa.

Katika Mwaka wa Fedha 2023/2024, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imejipanga kununua tani sita za dhahabu kwa ajili ya kuweka akiba katika mfumo wa fedha za kigeni.

Kwa upande wake, Afisa Mkuu wa masuala ya Fedha wa Kampuni ya Anglo Gold Ashanti, Bi. Gillian Doran, aliipongeza Serikali kwa kuweka mazingira mazuri ya ufanyaji biashara na kuahidi kuwa itaimarisha zaidi ushirikiano na Serikali kupanua uzalishaji wa madini nchini.

Aliahidi kuufanyia kazi ushauri uliotolewa wa kuiuzia Serikali dhahabu kama njia ya kutunza fedha za kigeni lakini pia kuendelea kusaidia huduma za kijamii katika aneo la mgodi wa dhahabu wa Geita kwa manufaa ya wananchi.

MWISHO
 
Baadaye wizara na serikali inaanza kulilia ipewe dhahabu

DKT. MWIGULU NCHEMBA AISHAURI ANGLO GOLD ASHANTI KUIUZIA DHAHABU BENKI KUU YA TANZANIA​

24 Jan, 2024
View attachment 2918614
WAZIRI wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kulia), akisalimiana na Afisa Mkuu wa masuala ya Fedha wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Anglo Gold Ashanti, inayomiliki Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mine-GGM), Bi. Gillian Doran, walipokutana kujadili masuala kadhaa ya ushirikiano kati ya Kampuni hiyo na Serikali, jijini Dodoma.

WAZIRI wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameushauri uongozi wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Anglo Gold Ashanti, inayomiliki Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mine-GGM), kuanza kuiuzia Serikali dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania ili kuiwezesha Serikali kuhifadhi dhahabu kama akiba ya fedha za kigeni.

Dkt. Nchemba ametoa ushauri huo Jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mkuu wa masuala ya Fedha wa Kampuni hiyo, Bi. Gillian Doran, ambapo wamejadili masuala kadhaa ya ushirikiano kati ya Kampuni hiyo na Serikali.

Alisema kuwa hatua hiyo itaifanya Serikali kuwa na chanzo cha uhakika cha kupata dhahabu pamoja na kuwatumia wachimbaji wadogo ambao hivi sasa ndio wanaofanyabiashara ya kuiuzia dhahabu Benki Kuu ya Tanzania.

“Lengo la hatua ya Serikali ya kuanza kuhifadhi dhahabu kama fedha za kigeni ni kuifanya nchi kuwa na chanzo cha uhakika cha fedha za kigeni kitakachotumika kama dhamana wakati inapohitaji fedha hizo kwa ajili ya matumizi mbalimbali badala ya kutegemea mikopo” alisema Dkt. Nchemba.

Aidha, Dkt. Nchemba alisema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameilekeza Wizara ya Fedha kuanza kununua dhahabu na kuitunza kama fedha za kigeni, maelekezo ambayo tumeyatekeleza na Benki Kuu imeanza kununua dhahabu.

“Akiba ya Dhahabu itatusaidia kununua bidhaa muhimu zitakazokuwa zinahitajika nchini ikiwemo mafuta na bidhaa nyingine, wakati wa changamoto ya upatikanaji wa fedha za kigeni na hatua hii inafaida kubwa kiuchumi” alisisitiza Dkt. Nchemba

Vilevile Dkt. Nchemba alisema kuwa mitambo ya kuchenjua dhahabu iliyojengwa Geita na Mwanza, itakuwa na manufaa endapo dhahabu inayozalishwa nchini itachakatwa na kuongezwa thamani hapa hapa nchini na kuchangia pato la Taifa.

Katika Mwaka wa Fedha 2023/2024, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imejipanga kununua tani sita za dhahabu kwa ajili ya kuweka akiba katika mfumo wa fedha za kigeni.

Kwa upande wake, Afisa Mkuu wa masuala ya Fedha wa Kampuni ya Anglo Gold Ashanti, Bi. Gillian Doran, aliipongeza Serikali kwa kuweka mazingira mazuri ya ufanyaji biashara na kuahidi kuwa itaimarisha zaidi ushirikiano na Serikali kupanua uzalishaji wa madini nchini.

Aliahidi kuufanyia kazi ushauri uliotolewa wa kuiuzia Serikali dhahabu kama njia ya kutunza fedha za kigeni lakini pia kuendelea kusaidia huduma za kijamii katika aneo la mgodi wa dhahabu wa Geita kwa manufaa ya wananchi.

MWISHO
Ni vichekesho sana. Wanadhani Barrick wamekuja kuchimba ili wapate madafu.
 
Ni vichekesho sana. Wanadhani Barrick wamekuja kuchimba ili wapate madafu.

Na inakuwa ngumu, mwekezaji kwa kuzingatia mkataba kanunu vipengele na masharti amekopa fedha nje kununua mitambo, kushawishi wawekezaji atakaowalipa kwa fedha za kigeni, amekodisha mitambo mizito na usafiri kwa meli kwa fedha za kigeni kifupi mnyororo mzima ni fedha za kigeni kweli atatuuzia kwa fedha za madafu ?

Dawa ni mkataba toka mwanzo wa mali kwa mali vitofali vya dhahabu mfano katika vitofali 100 kuwa mwekezaji chukua 65 mimi serikali vitofali 35 nitajua pa kuuza.
 
26 January 2024
Special Visit to Tanzania by AngloGold Ashanti CFO Gillian Doran
1709079052543.png

Gillian Doran, AngloGold Ashanti’s Chief Financial Officer, was recently welcomed to the Geita Gold Mine. In addition, Jacques Labuschagne, Senior Tax Manager -Africa and Himesh Persotam,Vice President: Finance - Africa were also present.

Their visit was not only historic as it was the CFO’s first visit, but also provided a valuable insight into the heart of Geita Gold Mine’s operations.

Terry Strong, Senior Vice President - Africa Business Unit, AngloGold Ashanti, together with some members of the GGML senior management team, conducted a briefing and also established the agenda for the day’s events.

Terry Strong, Senior Vice President of the Africa Business Unit at AngloGold Ashanti, led a briefing prior to AGA Chief Financial Officer Gillian Doran’s tour of the Geita Gold mine.

AngloGold Ashanti’s Chief Financial OfficerGillian Doran made a special visit to Geita Gold Mine. Zulu Nkanyiso, the Process Plant Senior Manager, answered questions from Gillian Doran, the Chief Financial Officer at AngloGold Ashanti, about GGM’s Tailings Storage Facility (TSF) management protocols. Also present were Gilbert Chamlonde, the Manager for Open Pit Mining .

Also present were Mr. Yusuph Mhando,the Manager for
Environment, Ikingo Gombo, the Senior Manager for Finance,
and Godvictor Lyimo, the Senior Manager for Tax Disputes
Resolution.
 
Wachimbaji wadogo, SACCOS za wachimbaji , wenyeji mmoja mmoja Nyanzaga Sengerema ndiyo walioibua taarifa za uwepo wa madini lakini hawapewi share / ubia bali wanahamishwa.

Sera hii inatakiwa kubadilishwa ili wananchi wa eneo wafaidike na madini hayo hadi mwisho wa uhai wa mgodi.

TOKA MAKTABA:

LINI SERIKALI ITAACHA KUWATIMUA WANANCHI

Badala yake ardhi ya mtu au kijiji iwe ndiyo mtaji wake wa kufanya biashara ya ubia na mwekezaji.

Anaongelea wekezaji mdogo, lakini hataki mchimbaji mdogo au kijiji kuingia ubia na wawekezaji wakubwa wa nje.

Serikali ya CCM kazi yake ni kuwatimua mchimbaji mdogo au wanakijiji wenye ardhi iliyo na madini au Vito

Toka Maktaba :

Na mgawanyo uwe vitofali vya dhahabu, karai la Vito n.k au makubaliano baina ya mwananchi mnyonge mwenye kumiliki ardhi au baina ya kijiji kinachomiliki ardhi na mwekezaji.

1 July 2023

Under the new deal announced on Friday, Botswana gets a bigger share of rough stones from their joint venture, Debswana.

Botswana and mining company De Beers have announced a new diamond sales deal.
View attachment 2918333

The new deal, concluded on Friday, gives Botswana a bigger share of rough stones from their joint venture.

Debswana, a joint venture between Anglo American unit De Beers and Botswana's government, sells 75% of its output to De Beers, with the balance taken up by state-owned Okavango Diamond Co.

The new agreement covers a 10-year sales deal for Debswana rough diamond production through to 2033 and 25-year Debswana mining licences.

In the run-up to Friday's deal, Botswana President Mokgweetsi Masisi, who is expected to seek re-election next year, had pushed De Beers for a bigger share of Debswana's output.

In March, Botswana announced it would take a 24% stake in Belgian gem processing firm HB Antwerp in a move seen as designed to loosen De Beers' grip on the country's gems.

Botswana supplies 70% of De Beers' rough diamonds
STAMICO ya Nyerere mpoo? Nasikia kuwa kuna mpaka viwanja vya ndege huko, wanatua na kuondoka na madini watakavyo. Pia hata vitabu vyao, Tz haijui uhalali wake au vinaandikwaje. Yote hayo yakitokea wahusika wanajinunulia majumba huku na kule duniani na kunenepeana kama "couscous". Pakitokea migogoro, hatuna wa kututetea, tunawalipa mabilioni na kuwarudishia migodi halafu tunajisifu tuna raslimali madini huku tukiimba mapambio. Wasomi wetu wanapata mafunzo yao wp? Pelekeni watu Botswana ...loh!
 
Back
Top Bottom