Kusajiri TIN number ni bure, hili linafanywa na TRA, Unapaswa kufika ofisi zao zozote zilizo karibu nawe.
Kusajiri jina la Biashara ni wastani wa shilingi Elfu ishirini hivi, hili linafanywa na BRELA na kwa sasa unaweza kufanya mchakato huo popote ulipo kwa kutumia mtandao tu.