[Ni kweli wengi waliiishia la saba wametusua maisha wanaojiita wasomi wanachagua kaziQUOTE="Kigodoro, post: 19045537, member: 223497"]Mm ninapoona msomi wa chuo kikuu analilia ajira moyo wanienda mbio sana. Kumbe tangu mtuache huku darasa la 7 hamjaongeza kitu kichwani? Mnachojua ni kuvaa nguo fupi, kuvaa mlegezo, kupost picha instagram/fb/whatsapp, n.k
nia aibu kubwa.
bora mngebakia huko huko darasa la saba. maana loooh! aibuu[/QUOTE]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.