All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,570
Ziseme sasa hizo storyKuna mzee mmoja ni(ret)anaitwa Lt col Patrick marwa nyaborogo aliendaga Cuba kitambo
Alibahatika kuonana na fidel Castro live na wakapeana mikono....
Ana story nyingi sana za fidel castro