Maisha ya Australia yapoje?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,321
50,542
Kwenda australia urahisi wake upoje na maisha yake yapoje kijamii, kisiasa na kiuchumi?
 
Urahisi wake unashabihiana na kutoka kutoka kupanga chumba kimoja tandale na kuamua kwenda kuishi masaki na kupanga full furnished apartment Masaki au oysterbay.

Kwa ufupi ukijipanga yote yanawezekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom